Haya yamemzika Lowassa kisiasa


Mbona unapotosha uma, atakae zikwa ni ccm ndugu. Kwani kuhujumu na fitna zenu munafikiri mutashinda? Mmekaa miaka yote hii ikuru na bado mnataka kwenda wakati hampawezi?
 
Hiyo Mwizi Mjanja hivi tukimpa badala ya China na US kuja kutuibia KWA mikataba yao ya hovyo yeye ndio atakuwa anawaliza
 
Yote yataongelewa lakini tunaomba kila atakayechukua nchi kama raisi wa awamu ya tano afanye kazi ya kusafisha mafisadi kila sekta kutoka katika madini, maliasili, umeme,bandari, mizani,ujenzi, halmashauri, idara za serikali, viwanja vya ndege, uoneaji wa wananchi na vyombo vya dola, wizi wa ardhi za wananchi, kudhulumiwa kwa mafao ya wanaostaafu, wizi katika vyombo vya ulinzi na usalama (silaha na nyaraka za kesi mbalimbali),bahari yetu, watumishi kuchanganya siasa na kazi, wafanyabiashara kutokulipa kodi stahiki, wizi katika kufanya makadirio kwa TRA, mawakala wa serikali na nchi ipate heshima na isonge mbele kimaendeleo na tusichague mgombea ambaye atakuwa kikwazo kupambana na matatizo haya maana kila mara vyombo vya habari vinaripoti ufisadi katika vyombo mbalimbali vya serikali!!
 
Mbona unapotosha uma, atakae zikwa ni ccm ndugu. Kwani kuhujumu na fitna zenu munafikiri mutashinda? Mmekaa miaka yote hii ikuru na bado mnataka kwenda wakati hampawezi?

Tulia dawa ikuingie.
 

Yamemzika au kumfufua? Usimshuhudie jirani yako uongo.
 
Tunampa huyo huyo mwiziiiiiiii, na mtuacheeeeeee
 
Jizi la kutupwaaa ..hivi hatutapata namna walau ya kurudisha Mali zetu hizi? make hatutaki mtu wa hivi kuendelea na majigambo wakati vitu vyoote kachuma kwetu

Tuna mhukumu kwenda IKULU kwa miaka kumi kuwatumikia wapumbavu,malofa na mbumbumbu kama adhabu ya makosa yake yote.JPM atatunukiwa nishani ya kuwa balozi nchini Syria.
 
Jizi la kutupwaaa ..hivi hatutapata namna walau ya kurudisha Mali zetu hizi? make hatutaki mtu wa hivi kuendelea na majigambo wakati vitu vyoote kachuma kwetu

Mfungulieni kesi ya jinai, kisha mfungue na kesi ya madai. Kama mnao uhakika na ushahidi kama inavyosemekana majukwaani na kwenye mitandao, atarudisha tu mali zetu.
 
Tuna mhukumu kwenda IKULU kwa miaka kumi kuwatumikia wapumbavu,malofa na mbumbumbu kama adhabu ya makosa yake yote.JPM atatunukiwa nishani ya kuwa balozi nchini Syria.

Atakuwaje balozi wakati hata Rais wa Syria hajui anaitwa nani (assumed by extrapolation)
 

He is making you wet your pants, s.h.e.n.z.i kabisa!
 

Haya yote uliyotaja ni ujinga tu, na tunayajua toka enzi na enzi. Anzisha mengine. Kama kweli ni mwizi namna hiyo, mkamateni, mfungeni ili akose sifa ya kupigiwa kura. Mnaropoka tu hewani hewani kama vifaranga vya ndege vilivyoachwa na mama yao bila msosi kwa tumbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…