Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,129
- 26,115
Uchanguzi ni lini?View attachment 3176667
Hakika wanachadema mpo kwenye wakati mgumu kuliko wakati mwingine wowote ambao mmepitia kama Chama
Kuna viongozi wengi na wanachama wenu wengi wameondoka kutokana na sababu moja au nyingine lkn naweza sema halikuwashtusha kama ambavyo litawashtusha hili ambalo litatokea sasa hivi
Ni wazi kabisa Mwenyekiti wenu wa sasa mh Mbowe ni kipenzi chenu kikubwa na mh Tundu Lisu Makamu Mwenyekiti nae ni kipenzi chenu pia,this time vipenzi vyenu vimeamua kama noma na iwe noma
Naamini kabisa kwa namna yoyote ile itakayo fanyika kumuondoa Lissu katika mchakato wa kugombea Uenyekiti ima iwe halali au kibabe utaleta athari kubwa sana katika chama chenu,na ndio hapo tutashuhudia taulo likitupwa ulingoni
Siamini hali hiyo ikitokea kama mh Lissu atabakia kuwa mwanachama hai wa Chadema,maana akibakia itakuwa unafiki tu ila moyoni mwake atakuwa hana mori na moyo wa kubakia hapo
Inafahamika kwamba Lissu amejizolea umaarufu mkubwa sana kwa ujasiri wake na upambanaji wake wa kudai haki na usawa hapa nchini kwetu,binafsi ingawa ni mwanachama au mshabiki wa Ccm lakini namkubali huyo mwamba sana
Endapo ataondoka Chadema kwa figisu ya aina yoyote ile basi mjue Chadema mtakuwa mmerusha taulo ulingoni katika siasa za vyama vingi na huenda mkawa kama vingine ambavyo vilisharusha taulo ulingoni kitambo tu kama Nccr Mageuzi na vinginevyo
Kwa namna hutuba ya Lissu nilivyo isikia hakika inaonyesha kabisa kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya Chadema,hapo inahitaji hekima na ukomavu wa kisiasa wa mh Mbowe asema inatosha sasa na kumpa kijiti mh Lissu
Ukiweka uchawa pembeni kwa kila mwanachama wa Chadema mwenye akili huru na uelewa wa kutosha ataona kabisa anayefaa sasa kuwa kamanda mkuu ni mh Lissu
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Asanteni kwa kunisikiliza
Ni hayo tu!
Unaumwa weweLissu hajafikia hata nusu ya umaarufu wa dk Slaa.Anadanganywa,na amedanganyika.
Kitu usichokijua kwa sasa Imani ya wanachadema na wapinzeni wa kweli ktk nchi hii ipo kwa lissu. Mbowe akijidanganya kumfanyia lissu figisu ili aendelee kusalia madarakani ajue kbisaa ndo kakinyonga chama mazimaaa, bila shaka mbowe hatakua tayari kutawanya nyumba aliyoijenga kwa nguvu kubwa.Lissu hajafikia hata nusu ya umaarufu wa dk Slaa.Anadanganywa,na amedanganyika.
Nadhani wote wanaaminika - chair na msaidizi wake.Kitu usichokijua kwa sasa Imani ya wanachadema na wapinzeni wa kweli ktk nchi hii ipo kwa lissu. Mbowe akijidanganya kumfanyia lissu figisu ili aendelee kusalia madarakani ajue kbisaa ndo kakinyonga chama mazimaaa, bila shaka mbowe hatakua tayari kutawanya nyumba aliyoijenga kwa nguvu kubwa.
Acha kujidanganya Mangi,mfukuzeni basi ,si kila siku anasema madhaifu ya chama na Mwenyekiti wenu? Mfukuzeni ndio mtajua nyeti ya bata ikojeLissu hajafikia hata nusu ya umaarufu wa dk Slaa.Anadanganywa,na amedanganyika.
Naomba nikukumbushe tu kwamba Dr. Slaa aliiacha Chadema ikiwa na Majimbo 25, Lowasa akaiacha Chadema ikiwa na Majimbo 46 sasa Chadema ya Mbowe ina Jimbo moja.Lissu hajafikia hata nusu ya umaarufu wa dk Slaa.Anadanganywa,na amedanganyika.
Hakika umetoa hoja nzito sana,na ni kipimo tosha kwa mwenyekiti wa sasa,kwamba hana tena maajabuNaomba nikukumbushe tu kwamba Dr. Slaa aliiacha Chadema ikiwa na Majimbo 25, Lowasa akaiacha Chadema ikiwa na Majimbo 46 sasa Chadema ya Mbowe ina Jimbo moja.
Kwa hali hii Chadema imekufa au haijafa!
Lissu hajafikia hata nusu ya umaarufu wa dk Slaa.Anadanganywa,na amedanganyika.
View attachment 3176667
Hakika wanachadema mpo kwenye wakati mgumu kuliko wakati mwingine wowote ambao mmepitia kama Chama
Kuna viongozi wengi na wanachama wenu wengi wameondoka kutokana na sababu moja au nyingine lkn naweza sema halikuwashtusha kama ambavyo litawashtusha hili ambalo litatokea sasa hivi
Ni wazi kabisa Mwenyekiti wenu wa sasa mh Mbowe ni kipenzi chenu kikubwa na mh Tundu Lisu Makamu Mwenyekiti nae ni kipenzi chenu pia,this time vipenzi vyenu vimeamua kama noma na iwe noma
Naamini kabisa kwa namna yoyote ile itakayo fanyika kumuondoa Lissu katika mchakato wa kugombea Uenyekiti ima iwe halali au kibabe utaleta athari kubwa sana katika chama chenu,na ndio hapo tutashuhudia taulo likitupwa ulingoni
Siamini hali hiyo ikitokea kama mh Lissu atabakia kuwa mwanachama hai wa Chadema,maana akibakia itakuwa unafiki tu ila moyoni mwake atakuwa hana mori na moyo wa kubakia hapo
Inafahamika kwamba Lissu amejizolea umaarufu mkubwa sana kwa ujasiri wake na upambanaji wake wa kudai haki na usawa hapa nchini kwetu,binafsi ingawa ni mwanachama au mshabiki wa Ccm lakini namkubali huyo mwamba sana
Endapo ataondoka Chadema kwa figisu ya aina yoyote ile basi mjue Chadema mtakuwa mmerusha taulo ulingoni katika siasa za vyama vingi na huenda mkawa kama vingine ambavyo vilisharusha taulo ulingoni kitambo tu kama Nccr Mageuzi na vinginevyo
Kwa namna hutuba ya Lissu nilivyo isikia hakika inaonyesha kabisa kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya Chadema,hapo inahitaji hekima na ukomavu wa kisiasa wa mh Mbowe asema inatosha sasa na kumpa kijiti mh Lissu
Ukiweka uchawa pembeni kwa kila mwanachama wa Chadema mwenye akili huru na uelewa wa kutosha ataona kabisa anayefaa sasa kuwa kamanda mkuu ni mh Lissu
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Asanteni kwa kunisikiliza
Ni hayo tu!
View attachment 3176667
Hakika wanachadema mpo kwenye wakati mgumu kuliko wakati mwingine wowote ambao mmepitia kama Chama
Kuna viongozi wengi na wanachama wenu wengi wameondoka kutokana na sababu moja au nyingine lkn naweza sema halikuwashtusha kama ambavyo litawashtusha hili ambalo litatokea sasa hivi
Ni wazi kabisa Mwenyekiti wenu wa sasa mh Mbowe ni kipenzi chenu kikubwa na mh Tundu Lisu Makamu Mwenyekiti nae ni kipenzi chenu pia,this time vipenzi vyenu vimeamua kama noma na iwe noma
Naamini kabisa kwa namna yoyote ile itakayo fanyika kumuondoa Lissu katika mchakato wa kugombea Uenyekiti ima iwe halali au kibabe utaleta athari kubwa sana katika chama chenu,na ndio hapo tutashuhudia taulo likitupwa ulingoni
Siamini hali hiyo ikitokea kama mh Lissu atabakia kuwa mwanachama hai wa Chadema,maana akibakia itakuwa unafiki tu ila moyoni mwake atakuwa hana mori na moyo wa kubakia hapo
Inafahamika kwamba Lissu amejizolea umaarufu mkubwa sana kwa ujasiri wake na upambanaji wake wa kudai haki na usawa hapa nchini kwetu,binafsi ingawa ni mwanachama au mshabiki wa Ccm lakini namkubali huyo mwamba sana
Endapo ataondoka Chadema kwa figisu ya aina yoyote ile basi mjue Chadema mtakuwa mmerusha taulo ulingoni katika siasa za vyama vingi na huenda mkawa kama vingine ambavyo vilisharusha taulo ulingoni kitambo tu kama Nccr Mageuzi na vinginevyo
Kwa namna hutuba ya Lissu nilivyo isikia hakika inaonyesha kabisa kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya Chadema,hapo inahitaji hekima na ukomavu wa kisiasa wa mh Mbowe asema inatosha sasa na kumpa kijiti mh Lissu
Ukiweka uchawa pembeni kwa kila mwanachama wa Chadema mwenye akili huru na uelewa wa kutosha ataona kabisa anayefaa sasa kuwa kamanda mkuu ni mh Lissu
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Asanteni kwa kunisikiliza
Ni hayo tu!
Mbowe amefika ukomo wa siasa. Hamvutii yeyote kwa sasa, na hapati wafuasi wapya. Lisu anakuza idadi ya wafuasi wake kila siku.Lissu hajafikia hata nusu ya umaarufu wa dk Slaa.Anadanganywa,na amedanganyika.
Kasongo wewo, mobali Na ngai, Kasongo Mbona weweooView attachment 3176667
Hakika wanachadema mpo kwenye wakati mgumu kuliko wakati mwingine wowote ambao mmepitia kama Chama
Kuna viongozi wengi na wanachama wenu wengi wameondoka kutokana na sababu moja au nyingine lkn naweza sema halikuwashtusha kama ambavyo litawashtusha hili ambalo litatokea sasa hivi
Ni wazi kabisa Mwenyekiti wenu wa sasa mh Mbowe ni kipenzi chenu kikubwa na mh Tundu Lisu Makamu Mwenyekiti nae ni kipenzi chenu pia,this time vipenzi vyenu vimeamua kama noma na iwe noma
Naamini kabisa kwa namna yoyote ile itakayo fanyika kumuondoa Lissu katika mchakato wa kugombea Uenyekiti ima iwe halali au kibabe utaleta athari kubwa sana katika chama chenu,na ndio hapo tutashuhudia taulo likitupwa ulingoni
Siamini hali hiyo ikitokea kama mh Lissu atabakia kuwa mwanachama hai wa Chadema,maana akibakia itakuwa unafiki tu ila moyoni mwake atakuwa hana mori na moyo wa kubakia hapo
Inafahamika kwamba Lissu amejizolea umaarufu mkubwa sana kwa ujasiri wake na upambanaji wake wa kudai haki na usawa hapa nchini kwetu,binafsi ingawa ni mwanachama au mshabiki wa Ccm lakini namkubali huyo mwamba sana
Endapo ataondoka Chadema kwa figisu ya aina yoyote ile basi mjue Chadema mtakuwa mmerusha taulo ulingoni katika siasa za vyama vingi na huenda mkawa kama vingine ambavyo vilisharusha taulo ulingoni kitambo tu kama Nccr Mageuzi na vinginevyo
Kwa namna hutuba ya Lissu nilivyo isikia hakika inaonyesha kabisa kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya Chadema,hapo inahitaji hekima na ukomavu wa kisiasa wa mh Mbowe asema inatosha sasa na kumpa kijiti mh Lissu
Ukiweka uchawa pembeni kwa kila mwanachama wa Chadema mwenye akili huru na uelewa wa kutosha ataona kabisa anayefaa sasa kuwa kamanda mkuu ni mh Lissu
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Asanteni kwa kunisikiliza
Ni hayo tu!
Amedanganywa na nani washenzi nyinyi?Lissu hajafikia hata nusu ya umaarufu wa dk Slaa.Anadanganywa,na amedanganyika.