Haya ya wanafunzi kufeli je?

ha ha ha

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
638
84
Miaka ya mwanzoni baada ya uhuru Mwl. Nyerere alitangaza maadui wakuu watatu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini. Hivi karibuni vijana wa sekondari wamekuwa wakifeli kwa wingi. Hakuna hatua yoyote ambayo imechukuliwa na serikali, mfano; risechi, jitihada ya dharura, kuongeza vitabu na miundo mbinu ya kusomea na mengine mengi. Au ndo serikali inatoa machozi ya mamba uku wanachekelea moyoni? Au wameona Mwl anaongea pumba kwenye hilo?
 
Back
Top Bottom