Elections 2010 Haya ya Dk Slaa kuchukua mikoba ni kweli?

Dr, hizi habari zimetushtua sana vijana wako na wafuasi wazuri wa CDM..tafadhali tunaomba maelezo kuhusu hii habari..
 
Hakuna Sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe
Shibuda atafukuzwa uanachama. Kama mtaamua kubadilisha sheria juu kwa juu abaki kuwa mbunge basi atakuwa mbunge wa chama chako ila siyo wa chadema!
 
Dr, hizi habari zimetushtua sana vijana wako na wafuasi wazuri wa CDM..tafadhali tunaomba maelezo kuhusu hii habari..
Hata mimi siungi mkono kugombea ubunge rais wangu. Kwenye majimbo aweke vijana hodari wa kukiendeleza chama. Na sisi vijana tuwe tayari kumuunga mkono pamoja na chama ili kusudi asione pengo lolote au sehemu yeyote inalegalega, tuungane kama nyuki kwenye mzinga. Lengo ni kupata viongozi wa kulijenga taifa letu na kuthamini maisha ya watanzania kama nchi nyingine.
 

binafsi siafiki slaa kugombea ubunge huko, hata hivyo naamini huo ni uzushi wa wanamgamba tu, lakini hilo la kumfukuza shibuda naunga mkono hoja 100%, ww unasema atawaburuza mahakamni, kwa lipi? km hafuati sera za chama ataenda kushtaki kitu gani mahakamni?

Atasimamia kuwa anayotofautiana na Chama chake ni yale ya msingi aliyoagizwa na wapiga kura wake ambayo ni kinyume cha matakwa ya chama chake.

Vile vile lazima walete ushahidi tosha usio na shaka wa kumfukuza uanachama mbao utaweza kukubalika na mahakama katika kumwondoa UBUNGE. Elewa kuna issue mbili hapo. Uanachama na ubunge.
ndio maana nikakupa refer kesi ya Naila Jidawi VS CUF
 
Siungi mkono hata kidogo Dr Slaa kugombea ubunge endapo Shibuda atafukuzwa uanachama, kwani hakuna wengine huko jimboni wanaokubalika walioko ndani ya CDM. Yeye afanya kazi ya kujenga chama.
 
source: jambo leo, owner riz one kikwete, unategemea nini? subira yavuta kheri.
 
Kutokana na Source yenyewe kutoiamini/Not reliable imebidi nije hapa jamvini!!
  • Shibuda kung'olewa ubunge
  • Dk Slaa kuchukua mikoba ya Shibuda!!
  • Tundu Lissu anaandaa waraka wa kumfukuza Chamani.
  • Zitto kabwe kasema Kamati kuu lazima imuondoe/umfukuze Shibuda uanachama.
Source: Jambo Leo Today

CDM at cross roads.
Hivi? Ni kweli Shibuda ana mikoba ya kuchukuliwa na Dr ? Yaani mdogo kiwadhifa ana mikoba ya kumtishia katibu mkuu wa CDM.
Na hapa is it not differences in political outlook katika CDM ndio inapelekea mgogoro huu.
Na kuna juhudi zozote kutafuta common ground katika tofauti hizi au ndo "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"
 
Hakuna Sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe

No! No! Hafukuzwi ubunge as such, ila anafukuzwa uanachama na immediatelly anakosa sifa ya kuwa mbunge kwa mujibu wa katiba ya JMTZ. Hivyo ndivyo wanafanya ambayo tunasema amefukuzwa ubunge indirrectly!

Binafsi sioni shida hata silaa akigombea ubunge, we need to be realistic, kama tulimshangilia Dr na kumuamini katika level ya urais kuwa angekuwa mkombozi wa taifa hili (dhamana kubwa) hiyo ndogo ni unquestionable! I don't see the logic kutokumwamini jimboni ukamwamini kitaifa!!!!!!!


Otherwise, I would comment that Shibuda hafai na hamech na magwanda! Inaonekana bado anatamani gamba si gwanda! aondoke, let him gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 
Atasimamia kuwa anayotofautiana na Chama chake ni yale ya msingi aliyoagizwa na wapiga kura wake ambayo ni kinyume cha matakwa ya chama chake.

Vile vile lazima walete ushahidi tosha usio na shaka wa kumfukuza uanachama mbao utaweza kukubalika na mahakama katika kumwondoa UBUNGE. Elewa kuna issue mbili hapo. Uanachama na ubunge.
ndio maana nikakupa refer kesi ya Naila Jidawi VS CUF

Sasa mfano akimwaga kwenye uwanachama atakuwa mbunge wa chama gani? nadhani hadhi yake ya ubunge itaondoka na uchaguzi utarudiwa tena!!coz hamna sheria ya mgombea binafsi till now...au hiyo kesi ya Jidawi ilikuwaje??
 
By the way, Dr Slaa sio wa viwango vya chini kiasi hicho. Wanakijenga chama na wana watu wengi wenyeuwezo wa kuwawakilisha wananchi kutokea maeneo yao! Hata ikitokea kweli Shibuda kupigwa chini, basi taratibu stahiki kwa mujibu wa katiba ya chama lazima zitumike kumpiga chini na kumchagua mgombea atakayesimama.

Kwa nini mnaleta habari za Jamba leo hapa? Fit for CCM consumption only.
 
Naunga mkono shibuda aondolewe ila wafuate taratibu zote na aruhusiwe kujitetea kwenye vikao vya chama kwa mujibu wa katiba ya CDM.

Dr. Slaa aendelee kuimarisha chama hasa ni rural areas, ubunge awaachie madogo wa Umoja wa vijana wa Chadema nina imani 100% yeyote atakayesimama kwa tiketi ya chadema hata kama ni mimi nitapita tu. watu wamechachoka CCM ya umagamba.


binafsi siafiki slaa kugombea ubunge huko, hata hivyo naamini huo ni uzushi wa wanamgamba tu, lakini hilo la kumfukuza shibuda naunga mkono hoja 100%, ww unasema atawaburuza mahakamni, kwa lipi? km hafuati sera za chama ataenda kushtaki kitu gani mahakamni?

Sababu wanazo nyinginyingi tu, sema umakini wa hali ya juu unatakiwa!! Huyu bwana ni kimeo kwa watu makini

Shibuda siyo kimeo kama mnavyomtangaza nyie, hana shida na hana madhara yoyote ndio maana tunawalaum CCM kwa kuwafanya wabunge wake kuwa kasuku kwa kila jambo ambalo serikali inaleta bungeni! kama mtindo wa wabunge kuwa kasuku wa chama ni mbaya kwa CCM na iwe mbaya pia kwa CDM lasivyo tusilaum tena tukiona wabunge wa CCM wakiungana kutete jambo la chama chao hata kama ni zuri au baya ili mradi ni jambo la chama.

Huyu ni mtu anayepinga na kusema adharani, na anatamka kweupe wa ngapi ndani ya CDM wanakaa vikao vya siri kuhujumu chama na bado ni viongozi wakubwa ndani ya chama? huu utakuwa Upuuzi mwingine.

Pia mfanye tafiti mi najuwa kuwa Bariadi na Maswa ni maeneo ya ajabu sana majimbo yao; Chenge, Cheyo na Shibuda hayo majimbo wananchni wamekalili hayo majina tu!
 
Dr Slaa abaki HQ aendelee kupiga dili za Mhe Chairman Aikaeli .... kama ilivyokuwa kwa mifuso mitumba.
 
Hakuna Sheria ya kumfukuza mbunge, ni kusubiri mpaka kipindi chake kiishe
Mbunge yuko pale kwa mgongo wa chama chake, akivuliwa uanachama automaticaly anapoteza ubunge...hilo liko wazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom