cheriefrance
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 134
- 40
..the hell is this?
somebody who doesn't know how to use Private Message :disapointed:
Unajua nini kama nikikupenda nitakupenda kwa dhati na nikikuchoka nakuchoka haswaaaaaa.... lkn sitoweka maisha yangu rehani kwaajili ya upuuzi huu...sasa we nenda tu....tusijuaneeeeeee wala usije kunitafuta tena :smile-big:Hebu niache nijilie raha.....:smile-big:

Sure......aiseee
hahaha najua kutumia PM..lkn najua anapita kwa nje tu bila kulog inn kwahio ndo namuwekea mambo hadharani :smile-big:somebody who doesn't know how to use Private Message :disapointed:
hahaha najua kutumia PM..lkn najua anapita kwa nje tu bila kulog inn kwahio ndo namuwekea mambo hadharani :smile-big:
Heeeee!!!!!haya mwenye ujumbe ukuje huku kuna kibuti chako.
Unajua nini kama nikikupenda nitakupenda kwa dhati na nikikuchoka nakuchoka haswaaaaaa.... lkn sitoweka maisha yangu rehani kwaajili ya upuuzi huu...sasa we nenda tu....tusijuaneeeeeee wala usije kunitafuta tena :smile-big:Hebu niache nijilie raha.....:smile-big:
ahhahaahahahhaa we nayeee huu ufukunyuku huu!Kumb eeeee ndio maana pole jamani
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/502552-najihisi-kuchanganyikiwa.html
Sina haja ya kumtaja jina lake najua wapo washenga kama wewe wanaoweza kumpa ujumbe wake :smile-big: Mjulishe asiwe na wasi kama ndicho anachohofia hicho....Naona umeamua kumpasha live kwenye jiko la mchina, unapoelekea utamtaja na jina.... Pole yako kwa kuachwa njia PANDA!!!!
he kumbe isije kuwa changu! cheriefrance ndio nini kunifanyia ivi?:disapointed::disapointed:
Kaizer kwa hili ngoja na mie nimpe pole tuKumb eeeee ndio maana pole jamani