Haya Watu wa ICT fursa nyingine hizo

Acha kabisa,hata watunzi wa mitihani pia nao wanazingua,nimefanya paper ya TAA juzi,huko huko kuna python,java,c++,c#,php kiswali kimoja.Mtu utajuaje language zotw hizo
 
Hahahaha hatari sana aisee..ndio maaana mtu anasoma kila kitu na anakua hewa kila sehemu, ila kila mtu angehamua kukomaa na sehemu moja ungekuta watu wapo vizuri sana,,kampuni inataka imwajiri mtu mmoja tu afanye kila kitu kweye dep ya it kwel
 
Acha tu si mchezo.

Kabisaaa chief...hapo ndio shida inapoanzia
 
wanayumba sana...hizi kazi huwa nazicheki tu kisha napita zangu hivii! Bora niendelee kuganga njaa tu
 
mazee mnazingua ukishamaster language moja
hizo nyingine zitakuwa rahisi tu sababu logic ni ileile...............
tehteh code iheshimiwe na watu wote.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…