kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,423
- 16,199
Pikipiki hii niliwahi kuendesha Enzi za utoto wangu
Pikipiki hii niliwahi kuendesha Enzi za utoto wangu
Aise
Nimecheka kwa nguvu sana, nikilinganisha post pamoja na comments [emoji53] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe bange ni hatari kiasi hiki?
Huyu Bhangi yake anachanganyia na Mavi ya Mbuzi, wewe unachanganyia na Kali lazma mtofautianeAcheni kufananisha Bangi na vitu vya kipuuzi
unamaanisha hii?Pikipiki hii niliwahi kuendesha Enzi za utoto wangu