Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

Jul 27, 2012
41
28
Jamani hv hii nchi inaelekea wapi? Waziri mkuu ktk kikao kilichopita cha bunge akijibu swali kuhusu kuchelewa kwa mishahara alisema tatizo limekwisha. Sasa mnaweza jionea hali halisi kwa kutembelea mbao za matangazo Muhimbili,wamesema pesa itachelewa kwa sababu mpaka sasa bado hawajaletewa toka hazina. Hivi watu tukisema waziri mkuu ni muongo kama Godbless Lema alivyosemaga watasema hatumtendei haki waziri mkuu? dah! Tanzania zaidi ya uijuavyo. source mimi mwenyewe nimeliona tangazo kwa macho yangu.
 
we ulifikiri ndege inayotumiwa na msomali kuokoa uhai wa ccm inatumia maji
 
Kwani huyo Waziri mkuu alipokuwa anajibu hilo swali alisema sababu ya kucheleweshwa kwa mshahara zilikuwa ni zipi?
 
Kwani huyo Waziri mkuu alipokuwa anajibu hilo swali alisema sababu ya kucheleweshwa kwa mshahara zilikuwa ni zipi?

Wanajiandaa kupeleka wanajeshi Congo kupambana na M23, na Membe alisema hawahitaji msaada wa mtu yeyote kupeleka battalion moja huko mashariki mwa Congo kwani watatumia pesa zao wenyewe. Jiulize hizo pesa wanazitoa wapi na je hiyo budget walikuwa nayo?

Inabidi mishahara ichelewe kidogo, teh...
 
kama ni kweli kazi tunayo sasa,na hili la leo kontena lenye vifaa bandia vya ARV lanaswa tena (source EA radio)
ivi ile kesi ya kiwanda kile cha ARV wamefikishwa mahakamani?
 
hakika hii inchi imeoza zaidi ya uozo
 
Tuwe wafabiashara sasa lakini nako kuna changamoto maana tenda wanapeana wenyewe wakubwa na sie tutabaki kuhuzunika
 
kama ni kweli kazi tunayo sasa,na hili la leo kontena lenye vifaa bandia vya ARV lanaswa tena (source EA radio)
ivi ile kesi ya kiwanda kile cha ARV wamefikishwa mahakamani?

Mbona umeelezwa mara nyingi hapa na wana JF kwamba Kiwanda cha ARV cha arusha ni cha CCM,ndio maana shukrani ya CCM ni kumfanya Madabida awe mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,hakuna kesi wala nini ,Mke wa Madabida Zarina madabida alisema munaosema dawa feki muna yenu mambo kwa maana ya ya wadhibiti wa chakula na madawa ,nchi hii ni zaidi ya ujuavyo mpaka jini au pepo la CCM litakapowatoka labda ndio nchi itakuwa kwenye msatari
 
Ccm oyee! Yaani ukisikia ccm wanafanya ziara za chama mikoani uhesabu maumivu kwa watumishi wa serikali. Eti kinana na wenzake wafanye mapinduzi ya uchumi wakati kulipa vimshahara vya watumishi wanashindwa! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm!
 
Hii serikali ni horrible sijapata kujua, walitaka kuchukua kichwa cha nyerere na mkwawa wakapime brain capacity zao!! Nawaita tena bureeeeeeeeeee siku itakapofika ya jk, wachukuwe kichwa chake, wakapime umburula wake, na wala kisirudi tena!
 
Hahahahahahaha. U made my day . Nimeku miss cacico
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…