Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

Jamani hv hii nchi inaelekea wapi? Waziri mkuu ktk kikao kilichopita cha bunge akijibu swali kuhusu kuchelewa kwa mishahara alisema tatizo limekwisha. Sasa mnaweza jionea hali halisi kwa kutembelea mbao za matangazo Muhimbili,wamesema pesa itachelewa kwa sababu mpaka sasa bado hawajaletewa toka hazina. Hivi watu tukisema waziri mkuu ni muongo kama Godbless Lema alivyosemaga watasema hatumtendei haki waziri mkuu? dah! Tanzania zaidi ya uijuavyo. source mimi mwenyewe nimeliona tangazo kwa macho yangu.

Serikali haina pesa kwa ajili ya bajeti ya mwaka huu.

Iliamua kuzuia pesa za mifuko ya jamii mkaamua kulalamika kila kona.

Sasa mnyamaze tu, kama mkiona hakusomeki..... hamieni.......

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Hii serikali ni horrible sijapata kujua, walitaka kuchukua kichwa cha nyerere na mkwawa wakapime brain capacity zao!! Nawaita tena bureeeeeeeeeee siku itakapofika ya jk, wachukuwe kichwa chake, wakapime umburula wake, na wala kisirudi tena!
hahhahahahahahahahahahahahh
 
Ccm oyee! Yaani ukisikia ccm wanafanya ziara za chama mikoani uhesabu maumivu kwa watumishi wa serikali. Eti kinana na wenzake wafanye mapinduzi ya uchumi wakati kulipa vimshahara vya watumishi wanashindwa! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm!

kigumu chama cha mapinduzi...........

Poleni wafanyakazi wa kikwete
 
Hii serikali ni horrible sijapata kujua, walitaka kuchukua kichwa cha nyerere na mkwawa wakapime brain capacity zao!! Nawaita tena bureeeeeeeeeee siku itakapofika ya jk, wachukuwe kichwa chake, wakapime umburula wake, na wala kisirudi tena!

hahahahahaaaaa mke mwenza taratibu
 
nafikiri wanaccm wanafurahia hali hii make familia zao kwa sasa ndo ziko kwenye boom,wanafikiri wanaohumia ni wanaCDM tu
 
Jamani ukitaka kuwa mwanasiasa lazima uwe mwongo na unayejua kupanga vyema propaganda zako ili hata wale wanaojifanya wajuaji waingie mkenge wa kufikiri kuwa kinachosemwa ni kweli..! Niliwaambia mikutano ile lazima imalize pesa hazina, haya sasa yamefika wapi....!
 
Ccm ni janga kwa wafanyakazi na wakulima pia janga maana ruzuku ya pembejeo mwaka huu hakuna sasa maisha pora sijui yatapatikanaje
 
Jamani mi nimekopa kiasi kwamba sijamuacha yeyote aliyekaribu yangu kumkopa sasa kama watachelewesha kasalary kangu si ndo wataniulia wanangu ambao ndo mali pekee nijivuniayo chini ya jua hili???
 
Hii serikali ni horrible sijapata kujua, walitaka kuchukua kichwa cha nyerere na mkwawa wakapime brain capacity zao!! Nawaita tena bureeeeeeeeeee siku itakapofika ya jk, wachukuwe kichwa chake, wakapime umburula wake, na wala kisirudi tena!

hahahahaha hatari hiyo bwana cacico
 
Jamani ukitaka kuwa mwanasiasa lazima uwe mwongo na unayejua kupanga vyema propaganda zako ili hata wale wanaojifanya wajuaji waingie mkenge wa kufikiri kuwa kinachosemwa ni kweli..! Niliwaambia mikutano ile lazima imalize pesa hazina, haya sasa yamefika wapi....!

tunaanza kuona ukweli halisi kaka hapa hakuna tumaini lolote. hebu mwenye kumbukumbu tangu sakata la salary limeanza ni miezi mingapi sasa imepita na ishu ni ileile? hakika zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
Haya bana kamshahara ndio hako kametoka ukalipe na madeni.

kangalo ndo leo nakaona kamezama sasa hapa ni ishu ya watesi wangu wanaonidai mana nilikua najitetea baada ya kuona tangazo sasa hali imebadilika jamaa wataniua maana wameshajua zimeingia sasa ni ishu ya kuwalipa tuu. kweli njaa bado kali
 
Last edited by a moderator:
mkiona december 9 inakaribia hesabu maumivu, pesa zote zinaenda kwenye gwalide, ndio maana dk Slaa huwa haendagi kwani anajua watanzania wanaumia sana
 
Back
Top Bottom