Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

Nasikia kameshatoka wenye uhakika watujuze. Toka Mgimwa ateuliwe mshahara ni tar 40. Bora mwizi anaejali njaa ya mwenye mali kuliko mwizi mkomba mboga
 
wasubiri safari za kinana mangula na nape huko mikoani ziishe ndio watalipwa mishahara yao
 
ndo maana nakiita Chama Cha Mafala. kila anaekiunga CCM mkono ss hivi yeye ni **** kabisa. Uwizi wa kimachomacho hata kipofu anaona eti utamkuta mtu bado tu ana support!! Upumbuvu kabisa
 
Akiulizwa JK atashangaa na kusema kwa nini nawaagiza mishahara iwe tayari tarehe 25 ya kila mwezi!kumbe mambo si mazuri hadi wazikusanye huku na huku sababu ya kuzichezea juzi mkutano umeisha wametumia mipesa kibao BWM atakumbukwa kwa mengi sana!!
 
keep away from elephant and giraffe

habari2.jpg
kwa kunisaidia tu naomba utoe hiyo picha maana naelekea kutapika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanajiandaa kupeleka wanajeshi Congo kupambana na M23, na Membe alisema hawahitaji msaada wa mtu yeyote kupeleka battalion moja huko mashariki mwa Congo kwani watatumia pesa zao wenyewe. Jiulize hizo pesa wanazitoa wapi na je hiyo budget walikuwa nayo?

Inabidi mishahara ichelewe kidogo, teh...

Wasituletee habari za ajabu ajabu....walete pesa za wafanyakazi wa nchi yetu...maana M23 wameisha salimu amri...hivyo wasilete visingizio
 
sio muhimbili UDOM,SUA,MLIMANI mziki ni huo huo,halafu wanakaa kwenye mkutano mkuu wanajisfu mkapa alikua analipa mshahara tarehe 25 huyu mtu Chalinze-Bagamoyo mpaka tarehe 38 ya mwezi,serikali ambayo inashindwa kulipa mishahara kwa wakati kuna serikali hapo????Ndio madhara ya kununua UONGOZI umekuwa msiba kwa taifa.
 
Bro,swala la salary delay limetuzoea sisi huku wanaBUKOMBE mkoani Geita, mimi nlizania ni huku Remote areas tu, kumbe hata watu wa jijini wanasuffer Hadi tarehe ya leo (30/11/2012) bado bilabila.
 
Back
Top Bottom