Puppy JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 2,995 Reaction score 2,540 Feb 2, 2012 #21 Masikini_Jeuri said: wakati fulani nawakubali hawa jamaa! Click to expand... Wangenisaidia kwenye hii shughuli ningefurahi sana
Masikini_Jeuri said: wakati fulani nawakubali hawa jamaa! Click to expand... Wangenisaidia kwenye hii shughuli ningefurahi sana
S Sikwepeshi Senior Member Joined Jan 26, 2012 Posts 162 Reaction score 18 Feb 2, 2012 #22 learned said: Sasa ndio naamini kabisa beyond any reasonable doubt kuwa bwa.figa ni kibopa fulani na kazi yake inainvolve kusafiri sana nchini.. Click to expand... uko fit kwenye inteligensia,au huenda yuko karibu na hao vibopa,unajua ata hawa vibopa wamechoshwa na kejeli za hii serikali basi tu.
learned said: Sasa ndio naamini kabisa beyond any reasonable doubt kuwa bwa.figa ni kibopa fulani na kazi yake inainvolve kusafiri sana nchini.. Click to expand... uko fit kwenye inteligensia,au huenda yuko karibu na hao vibopa,unajua ata hawa vibopa wamechoshwa na kejeli za hii serikali basi tu.
K Kanyigo JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,027 Reaction score 194 Feb 2, 2012 #23 huyu jamaa kabla alijifanya mpiganaji kumbe ni mwizi!
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 2, 2012 #24 mbwigule said: Waache watanue mara ya mwisho maana 2015 wananchi watachukua nchi yao na kupata Uhuru. Ama kweli CCM ya sasa ni aheri ya Mkoloni. Click to expand... Na wamelitambua hilo kwamba 2015 ni zamu ya wananchi kuchukua nchi ndo mana sasa hivi wanamalizia kwa fujo.
mbwigule said: Waache watanue mara ya mwisho maana 2015 wananchi watachukua nchi yao na kupata Uhuru. Ama kweli CCM ya sasa ni aheri ya Mkoloni. Click to expand... Na wamelitambua hilo kwamba 2015 ni zamu ya wananchi kuchukua nchi ndo mana sasa hivi wanamalizia kwa fujo.
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 2, 2012 #25 Kanyigo said: huyu jamaa kabla alijifanya mpiganaji kumbe ni mwizi! Click to expand... alikuwa anasoma mazingira, kashayajua nyie wananchi mtajiju.
Kanyigo said: huyu jamaa kabla alijifanya mpiganaji kumbe ni mwizi! Click to expand... alikuwa anasoma mazingira, kashayajua nyie wananchi mtajiju.