Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,237
- 9,871
hayo ni matatizo ya shibe...
wewe umekula umeshiba sasa ndo unapata matatizo na wadada na wanavyo vaa
uliza ambae kula yake ya shida akwambie.....
ndo maana watu wa dini wanashauri watu wafunge.....
shibe inakusumbua....
subiri siku uko juu ya mawe uone kama kuna dada atakae kuvutia
hili ndilo jibu la kuanzia mwaka 2012...naomba ruhusa yako nitumie jibu hili kwa wanaume wenzangu wenye complain za hivi!