Msiwaue maccm jamani lo!! Nimefurahi hayo majibu kweli. Na wakifungua sm kumekucha. Nasema, jamani ccm msijisumbue, watu wesha amua HAWABADILIKI ng'oooo LOWASA for Presidency
Hili vuguvugu linaweza kumchanganya Magufuli akajikuta ametik box ya Lowassa kwa jinsi umma ulivyomkubali ENL. Zingatia Magufuli ana uzoefu kwa kufanya mambo kwa spidi na kufikiri baadaye