Haya sasa leo nauza hii simu ( samsung )

Haya sasa leo nauza hii simu ( samsung )

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Nauza simu aina ya Samsung
model ni Samsung Chat E2222
condition ni ipo katika hali nzuri kabisa maana ina mwezi toka niinunue.
apps kama facebook windows live massanger gmail yahoo n.k zipo.
iko na memory card yake ya 4GB

Simu iko vizuri haina tatizo lolote.
sababu ya kuuza nataka niongezee pesa nikagomboe laptop yangu kwa fundi.
Nipo Dar mikocheni
bei ni 50000
simu 0715553166
 
Back
Top Bottom