Mbona ni sasa hivi tu tumeona makamanda wa usalama barabarani wakijinadi kuwa hawako tayari kuona sheria za barabarani zinavunjwa kwa nashabiki wa vyama kupakizana kwenye maroli, sasa inakuwaje leo mbona hata siku haijapita na kosa hilo linatendwa na chama tawala?
Je, vyama pinzani wakifanya watapigwa tu?!.