Haya polisi jamani 2013

Vipi kwa ambao tuko mtaani. Nyie polisi vipi? Kwa nini msingetoa offer kwa wanaopenda kwenda huko toka mtaani hata mkaweka limitation ya age na mwaka mtu aliomaliza chuo.
Napenda kuvaa jezi jamani, mnionee huruma polisi.
 
Mi nilizani ni TANZANIA POLICE SERVICE kumbe TANZANIA POLICE FORCE

Sina mpango wakujiunga na kutumia miguvu mingi bila ya kutumia akili
 
kwa wale mliopo chuoni unasubmit kwa walezi but wale wa mtaani ombeni kwa barua au mnasubiri unaenda cku ya interview
 
mkuu mbona nimejaribu kufungua websit yao sijao hili tangazo vp sasa nitalipata wap?
 
mkuu mbona nimejaribu kufungua websit yao sijao hili tangazo vp sasa nitalipata wap?
Ngoja nikuelekeze nenda kwenye website yao ya police alafu angalia sehemu iliyo andikwa DOWNLOADS then click pale alafu utakuta list nyingi sana za download den chagua husika alafu daownload uatapata form yako
 
ngoja tujaribishe bahati yetu hapa.
 
Ngoja nikuelekeze nenda kwenye website yao ya police alafu angalia sehemu iliyo andikwa DOWNLOADS then click pale alafu utakuta list nyingi sana za download den chagua husika alafu daownload uatapata form yako

nashukuru mkuu ngoja nijalibu bahati yangu ya kuwa hata liafandee🙂
 
Ngoja nikuelekeze nenda kwenye website yao ya police alafu angalia sehemu iliyo andikwa DOWNLOADS then click pale alafu utakuta list nyingi sana za download den chagua husika alafu daownload uatapata form yako

nashukuru mkuu ila sijaona vigezo gani zaid wanataka ukiacha na kukaliza mwaka huu mfano age, kozi gani na level gan degree, diploma au cheti, maomba masaada :shock:
 
Hilo tangazo nimeliona limebandikwa pale udsm notice board ya utawala.kwanza wanataka graduates wa mwaka huu wenye fani za Llb,public administration,Human resources mgt,sociology,computer science na Information technology.form zote zipelekwe kwa dean of students.over
 
Hilo tangazo at udsm,linaonesha deadline ni lini?form unarudisha wapi na zikiwa na viambatanisho gani vingine?au ukijaza tu form unaenda iacha kwa Dean?
 
tunashukuru mkuu je kwawenye diploma za computer science wanaruhusiwa kuomba na kama itakuwa vizuri unaweza kutupia ilo tangazo kwa softcopy original over:shock:
 
Vipi kwa ambao tuko mtaani. Nyie polisi vipi? Kwa nini msingetoa offer kwa wanaopenda kwenda huko toka mtaani hata mkaweka limitation ya age na mwaka mtu aliomaliza chuo.
Napenda kuvaa jezi jamani, mnionee huruma polisi.

Umeona eeh kaka? Maana mtu kashafika chuo inamaana elimu anayo na kazi atapata.....sisi wa mitaani ndio balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…