heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ilikuwa usiku wa manane,
mtu na mkewe walikuwa
wamelala usingizi, ghafla
wakasikia mtu anagonga
mlango. Mume akaamka
na kufungua mlango;
MUME : Vipi tena usiku
huu? MLEVI : Samahani
mzee nina tatizo naomba
ukanisukume. Mume
akafunga mlango KWA
HASIRA na kurudi kulala.
Jamaa akaendelea
kugonga.
MKE: Kwani anataka nini?
MUME : Mjinga huyo eti
anasema nikamsukume
MKE: Si umsaidie
mwenzako, hata wewe
unaweza ukapata tatizo
gari likakuzimikia usiku.
Mume akaamka akavaa na
kukubali kusindikizana na
mlevi akamsaidie......
MUME : Mbona sioni gari?
MLEVI : Subiri, na hatimae
wakafika mahala kuna
mabembea, mlevi
akapanda moja;
MLEVI : Haya nisukume
mtu na mkewe walikuwa
wamelala usingizi, ghafla
wakasikia mtu anagonga
mlango. Mume akaamka
na kufungua mlango;
MUME : Vipi tena usiku
huu? MLEVI : Samahani
mzee nina tatizo naomba
ukanisukume. Mume
akafunga mlango KWA
HASIRA na kurudi kulala.
Jamaa akaendelea
kugonga.
MKE: Kwani anataka nini?
MUME : Mjinga huyo eti
anasema nikamsukume
MKE: Si umsaidie
mwenzako, hata wewe
unaweza ukapata tatizo
gari likakuzimikia usiku.
Mume akaamka akavaa na
kukubali kusindikizana na
mlevi akamsaidie......
MUME : Mbona sioni gari?
MLEVI : Subiri, na hatimae
wakafika mahala kuna
mabembea, mlevi
akapanda moja;
MLEVI : Haya nisukume