Haya niambie!

Mkuu sasa hii ni chemsha bongo ?

Bora ututajie ni hekaru la nani na liko wapi ?
kutajiwa ni bure Mkuu ama mpaka tulipie.
 
Eee bana umepiga bull!!
Hapo ni Macchame Protea.
Sasa sijui Baba V na Bujibuji na wanajua hilo, ili Sugu aalikwe huko kwa complimentary baada ya kazi ngumu!!

Nilikuwa sipajui Jomba, Nashukuru kwa kunijulisha, Nitaenda kutembelea ili nipafahamu "muzuri"
 
MasopakyindiHawa ndio viongozi ambao inatakiwa tuwape Nchi watuongoze maana wana asset za kutosha tangu wanazaliwa sio kama yule wa Msoga au unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…