Haya ni matunda gani jamani na yanaliwa au hayaliwi nimeona sehemu nikaamua kupiga picha

Kukudume2013

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
1,659
733
f50dbe596938c1f034262fd945d2f96c.jpg
 
Hayo hayaliwi bali majani ya hiyo miti
yanatumiwa kusuka vikapu,wanaotoka
upareni maeneo ya kahe wanaifahamu hiyo miti.

Ni jamii ya miti inayoitwa mipama
inayoota mkoa wa singida,ila mapama yanaliwa
yenyewe ni makubwa na ni matumu ukila.
kwa haya madogo sijawahi kuona mtu anakula
labda kama utafanya utafiti,ila angalia
usije ukaonja sumu kwa ulimi.
 
Back
Top Bottom