A Aine JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,603 Reaction score 489 Dec 28, 2012 #21 huo ni wizi wa hela, there is no love hapo
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 866 Reaction score 526 Dec 28, 2012 #22 Ptuuuu****** zake !!
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Dec 28, 2012 #23 5000 35000 30000 +25000 95000/- Asante Mungu kwa mmachame wangu! Nimegundua wengine wetu si wahuni kwa sababu hatupendi uhuni, ubahili aisee!!!! khaaaaaa....
5000 35000 30000 +25000 95000/- Asante Mungu kwa mmachame wangu! Nimegundua wengine wetu si wahuni kwa sababu hatupendi uhuni, ubahili aisee!!!! khaaaaaa....
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 Dec 28, 2012 #24 Baby mswaki wangu umedondondoka bafuni niletee mwingine.Kazi mnayo ya kuwalelea wenzenu halafu vinaliwa kiulaini kama wananawa vile
Baby mswaki wangu umedondondoka bafuni niletee mwingine.Kazi mnayo ya kuwalelea wenzenu halafu vinaliwa kiulaini kama wananawa vile
M MASHARL Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 120 Reaction score 9 Dec 28, 2012 #25 ndiyo si kakuambia sasa fanya mamuzi