iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
Baby naomba unicredity vocha elfu 5000/=, na ukija hostel usisahau kuja na chipsi kuku mzima coz npo na friends zangu,afu nadaiwa elfu35 nlikopa mpenzi wangu na plz mpenzi wangu naomba uniongezee elfu30 ya vitabu na elfu 25 ya saloon c unajua weekend! i love u mwaaaa mwaaaa je haya ni mapenzi au ni wizi wa hela