Haya ni mapenzi au usahulifu?

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,456
Reaction score
1,011
Wanabodi, jambo hili huwatokea baadhi ya watu wakiwa kwenye malavi davi na baada ya kumaliza kuduu...huwa inatokea kwa wanaume wanavaa nguo za ndani za mpenzi wake na kuondoka nayo hata kama ni mchana kweupe, baada ya masaa kadhaa ndipo anapata fahamu kushtuka anakuta ameshaivaa ch..pi ya mauamaua kwa upande wakinadada wengine wakimaliza kuduu mpaka wanasahu kabisa kuvaa chu..pi na wanaondoka, baada ya masaa kupita ndipo atakumbuka na kuhamaki kwamba aliisahau kuivaa..kutokana na matatizo hayo ya kinadada kuondoka na kusahau chupi imemfanya jamaa mmoja yupo dodoma kajikuta mpaka sasa idadi chupi zimekuwa nyingi mpaka begi limejaa chupi za kike, hii inasababishwa na nini?
 
mhm...mie pia napenda baki na cgupi za maddemu nilio dunyua
 
Hiyo huwatokea wale wakware wezi wa wake za watu....mwanaume mzima chupi ya kike unaipeleka wapi kama si upunguani tu...

#halafu mkuu acha kuweka threads za ajabu, JF sio jalala la mawazo ya hamnazo, habari za leo uvae chupi gani au gauni gani ukiona unakosa jibu nenda kamuulize mwenyekiti wa serikali za mitaa au hata Mudy muuza mitumba hapo mtaani kwenu#
 
maneno kuntu, hilo linaaply kwa wale wezi wanaohitaji kuwamulikia, azawise sisi wengine wil neva hapen kwetu
 
maneno kuntu, hilo linaaply kwa wale wezi wanaohitaji kuwamulikia, azawise sisi wengine wil neva hapen kwetu

Kweli kabisa. Katika historia yangu ya kudunyuana na K zaidi ya 300 sijawahi kutana na hii makitu.

Zahma lililowahi nikumba katika uzoefu wangu ni kusahau pale nlipotongoza demu kumbe nlishawahi mdinya huko nyuma. Nliaibikaje? mwishowe nlijikuta najitetea eti "NLIKUWA NAKUTANIA TU"
 

Kwakweli hapo lazima uaibike bigtime...loh!
 
du!!!kwani we ni FEROOZ (starehe)
 

wote hao TULIZANA.
 

huwa unakumbuka kutumia MWANAUME WA KWELI(dume)
 
kudunyuana na K zaidi ya 300
duh weuko serious kweli ? au unatutania?
 
ah nikimkumbuka na yeye hayupo basi nazipigia nyeto
 

huko ni kuzuga tu ni ushirikina mtupu..inavyosemekana mpenzi akivaa nguo ya ndani ya mpenzi wake huwezi kumloga hata ufanyeje sasa wengi wanaume wanafanya makusudi kuivaa na anaondoka nayo moja kwa moja
 
feroooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzz
 

Hapo kwenye nyekundu, nina wasiwasi kama bado unayo, si itakuwa imesha kabisaaaaaaa, kumebaki upara mweupeeee!
Kha nitakuwa sikuogopi tena maana hunaaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…