Jamani mi nahisi nimelogwa kila ninapota kuachana na huyu jamaa najikutanimerudiana naye, mbali navituko anavyonifanyia ikiwemo kunicheat na nimeshamfumania na mwanamke ambaye ni X wake mara kadhaa na kwenye simu wakiwasiliana lkn sibanduki hadi police tumeshafikishana na kumlaza ndani siku 1,baada ya kuniomba radhi nikamsamehe mwezi baadaye tukarudiana je hiki ni nn? huwa nawaza sana na hisi akili yangu ataniudhi sana eitha kwa ulevi au maneno mm ndo naumia kwa kumuwaza yeye, sili, silali kila dakika anaclick kichwani. Naomba mnisaidie humu jamvini ni nn hiki?

<br />sijaona tatizo ambalo unafikiri umelogwa hapo,...suala ni kwamba ww na jamaa yako mnapendana na ndio maana unamlaza ndani lakn bado anakubembelleza mrudiane,......pambana kumbadilisha tabia kwani hizo ni kasoro ndogo ndogo na kwa wanaume wengi tuko hivyo
<br />
<br />
Mkuu mchumba/mke wako ana shida sana. Kama anakufumania au unarudi ukiwa chicha mbaya na matusi juu na bado yuko na wewe ana moyo sana
<br />mkuu mimi sinaga lugha za matusi by nature_jamii inanijua na mpnz wangu anajua,...ila hapo kwenye blue ndio penyewe nakua chicha ile mbaya,..ingawa yeye hapendi na wala hatumii kileo,...nafikiri simtendei haki ila ndio hivyo tena _mimi na beer damu*2