Haya ni majanga

sio kosa lake kama ametoka kijijini ambako hata mwanga niwa kibatari anaonekana atakuwa msafi sana wanaume waanze kutupa ndoana
 
Mara ukute katumia steel wool kwenye hizo cd ili kuzifanya zing'ae zaidi!Hiyo
ni triple majanga!!!!
 
Mara ukute katumia steel wool kwenye hizo cd ili kuzifanya zing'ae zaidi!Hiyo
ni triple majanga!!!!

Lazma ni steel imetumika ...na hio mashine kaifua tehe teheeeee
 
sio kosa lake kama ametoka kijijini ambako hata mwanga niwa kibatari anaonekana atakuwa msafi sana wanaume waanze kutupa ndoana

Uwiii huyu hafai kwa ndoano
 
mh unamnunulia na zawadi za kuwapelekea wazazi wake gud job.
 
namwambia kuwa kakosea alafu namwelekeza ili asije kurudia.
 
kwa kawaida,inatakiwa,kila mwajiri anapomwajiri mfanyakazi mpya katk kazi yoyote,ampe maelekezo(induction)namna ya kutekeleza majukumu yake.Sasa kama wewe hujamwelekeza cha kufanya,chochote utakachokuta kakifanya kubaliana na matokeo.
 
Sidhani kama kwenye hiyo 'induction' utamuelekeza kuwa asioshe CD au Laptop na maji na aanike kwenye kamba, kwa sababu zaidi utategemea kuwa atajiongeza kwa kutumia akili zake.
 
Huyo hakuwa dada wa kazi, huyo atakuwa mchumba mpya ndio kwanza ka move in, akaona laptop inamavumbi akaamua kuipiga maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…