Haya ni Madini gani?

Haya ni Madini gani?

fred1149

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
257
Reaction score
323
Nisaidieni,kwa yeyote ambae ni mtaalam wa Madini. Madini Haya ni ya aina gani,bei yake sokoni
8abb067011e6e6fd12a9a628625eadcf.jpg
28dc187e6f67b204fa6639a18de09d71.jpg
89a1d7c602312c5b32e3da7b0a9b4779.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapeli una mpaka yake sio kila mmoja utamtapeli.

Hakuna madini hapo ni mawe ya kawaida tu yanauzwa kama kokoto fulani za kutumia ka floor ya tarazo.
 
Hizo ni aina ya kokoto tu mkuu na zimejaa sana kule Tosamanganga.

Magu legeza kamba hali mbaya huku.
 
Hivyo ni vijiwe vya marble, kwa hali, size na shape hiyo havina thamani, ila likikatwa jiwe likatoa slab ya 2mx0.62mx0.18m na likawa well polished, linakuwa na thamani ya kati ya 150,000/= hadi 200,000/= sokoni
 
Wasikudanganye hao,hayo ni madin ya feldspar,..nishauza sana hayo kiwanda cha goodwill mkuranga,..yanauzwa kwa tani,..mfano mi nilikua nauza elf80 kwa tani,..sabab nilikua nayatoa karib na kiwandan,
 
Mbona mengi sana halafu yako kama njiani tu vile haiwezekani yawe madini, ungenishawish kama yangekuwa ndani ya shimo a. K. a kichuguu
 
Hayo yanaitwa madini kokoto..soko lake lipo sana hapa town hasa kwa wanaojenga nyumba..unahitaji ukusanye kama hayo yakae lori apo ndipo utafaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom