Haya ni madini aina gani?

Haya ni madini aina gani?

Thaman yake ni bei gan

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifahamu bei yake hasa ila kiujumla hayana thamani. Zipo aina nyingine za quartz zenye thamani ambazo ni rose quartz, amethyst, bluish quartz.

Faida kubwa ya hio mineral katika picha ni katika kufanyika kwa mchanga ambao umuhimu wake kila mtu anafahamu.
 
caf6dcc936ee87bf0d27472f06423d77.jpg
e38b1c693dcfbd3ca7724891ca601011.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo mawe yanachimbwa kibirashi na maeneo ya kwenyengwe handeni wanaenda kutengenezea tiles
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom