Igundu nsonda
Member
- Apr 29, 2017
- 88
- 48
Nenda kwenye soko la madini utayajua mbele kwa mbele wakati wa kuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Quartz hii hapa hiyo ya kushoto ni best quality
Hiyo ndiyo quartz inayoweza kuuzikaQuartz hii hapa hiyo ya kushoto ni best quality
Ova
TOSAMAGANGA,umenikumbusha shule yangu lyalamo mkuuHayana mvuto kwasababu sio madini ni aina za kokoto zipo sana Tosamanganga Kule.
TOSAMAGANGA,umenikumbusha shule yangu lyalamo mkuu
yap!nimepiga pale mkuu,shule nzuri niliifurahia sana.majirani zetu Tosamaganga sec,ratiba ya pale si mchezoUmepiga lyalamo primary? Wale Watoto wanapiga msuli, wanaenda prepo hadi saa nne
yap!nimepiga pale mkuu,shule nzuri niliifurahia sana.majirani zetu Tosamaganga sec,ratiba ya pale si mchezo
Umeyaokota wapi mkuu
Kuna madini mengine hayaana mvuto kwa kuyaona lakini kwa watu wazoefu kama sisi utayajuaa,iila ni baadhi ya mawe mfano kama haya yanaitwa hazonite yanatoka msumbiji Kuna aina mbili ya rangi ya coca n'a fantaMbona hayana mvuto?
Mazingira ya pale mazuri sana kusomea[/QUOTEionar
sana, wanajitahidi wakatoliki wale.japo nimemaliza kitambo! hope wako vizuri mpaka sasa.jiografia ya kijiji cha Tosamaganga ni nzuri sana hasa kipindi cha masika,ile miinuko na misitu,mto mkubwa,majengo ya mda mrefu yanavutia sana,wamisionary walijenga vizuri sana.nna mpango wa kutembelea tena wakati mmoja.
Cc Prof. A. Mruma "aka" Makinikia.
Wataalamu wa jiolojia watakwambia mawe yote hutengenezwa kutokana na madini. Kokoto au "rock aggregates" ni madini ya ujenzi.Hayana mvuto kwasababu sio madini ni aina za kokoto zipo sana Tosamanganga Kule.
Yap, uko sahihi nami naona kama quartz ambayo ni aina ya silicate mineral isiyo na thamani sana.
Uko sahihi na umetoa maelezo mazuri.Wataalamu wa jiolojia watakwambia mawe yote hutengenezwa kutokana na madini. Kokoto au "rock aggregates" ni madini ya ujenzi.
Thamani anayoizungumzia mwandishi ni ya vito. Ni kweli haya mawe hayana thamani kama vito lakini bado ni madini. Yanaweza kuwa ni quartz au feldspars. Kuna aina ya quartz iitwayo amethyst ambayo huwa vito " gem quality" lakino siyo kila aina na quartz ni vito.