Indian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 821
- 708
Huyu mmoja Anaitwa Mohammed Bebeto kwao ni Wete PEMBA na sasa hivi ni mchezaji na mfungaji kwenye hii time yake huko ulaya.
Na mwengine huyu wa Manchester United Anaitwa Rashid Mohammed ni Mtoto wa Gombani PEMBA.
Hivi ni vipaji vinavoinekana zaidi kwenye media za kimataifa.