aturudishie nyumba zetu alizoiba.
aturudishie nyumba zetu alizoiba.
Elimu yako ifanyie kazi punguza jazba
HAYA NDO MANENO YA MAGUFULI:
"Nasema haya kutoka moyoni,nasema haya kwa dhati kabisa,nawahakikishia nitakuwa nanyi,nitakuwa nanyi mtumishi kweli kweli"
We mwenye elimu imekusaidia nini kushabikia waliokanyaga katiba ya wananchi ???!
HATA KIKWETE ALIYASEMA KUTOKA MOYONI KWA dhatikabisa maisha bora kwa kila mtanzaniaHAYA NDO MANENO YA MAGUFULI:
"Nasema haya kutoka moyoni,nasema haya kwa dhati kabisa,nawahakikishia nitakuwa nanyi,nitakuwa nanyi mtumishi kweli kweli"
Hata akitembea kwa magoti,ni Lowassa tu
Wananchi gan unasemea?
Kazi ya Tume n kukusanya maoni
Na maoni ya tume sio final and conclusive
Bt n recommendations tu
Na ndio maana baada ya kukusanya mawazo yanaletwa tena kwenye bunge maalum la katiba
na kwakuwa tunatumia mfumo wa representative
Maon ya wengi husikilizwa
Kwasabab maoni ya wawakilishi ndio maon ya Wananchi wote
Acha kuchelewa
twende na mzalendo magufuli
Sasa
HATA KIKWETE ALIYASEMA KUTOKA MOYONI KWA dhatikabisa maisha bora kwa kila mtanzania