Haya ndo maisha ya dada zako kwenye Fb na insta

Life is funny
 
WanAingia na mbwembwe wavulana wanawapimia...wanarusha kete, wanamegwa kisha wanawapotezea..kumbe masikini na mimba walishadakishwa..kwa hiyo ndo huo mtiririko wa status unapokuwa unaendana na matukio

acha kusema ukweli mkuu
 
Ujakosea hahahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…