Haya ndo maisha bora?

Haya ndo maisha bora?

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Maisha yanazidi kuwa magumu hasa kwa sekta ya elimu,wizara ambayo wafanyakazi wake hasa walimu wanalipwa kima kidogo cha mshahara!,ninajiuliza kwa nini malimbikizo ya mishahara na madaraja hayalipwi kwa wakati nani wa kulaumiwa? musoma vijijini madai yetu yamekuwa sugu! hali ni tete!
 
Pole sana ndugu zangu walimu, si nyinyi tu mtesekao na matokeo ya utawala mbovu wa ccm ni watanzania wengi wa kada ya chini.

Ushauri wa bure kwa walimu.

2015 kwenye uchaguzi malizieni hasira zenu huko. Hakikisheni mnaizamisha meli ya ccm mtakaposhirikishwa na watakapo hitaji huduma zenu.
 
aaaah!!kwahiyo chama kingine wakikichagua ndo kitawalipa mamilion???

Kuhusu mishahara duni kila mtumishi wa umma analalamka maslahi ni duni,si walimu tu jaman!!!
 
sekta zote matatizo na chanzo ni mfumo mbovu uliowekwa na serikali nadhani mabadiliko yanahitajika kuanzia ngazi za juu mpaka huku chini
 
Mkuu,kima kidogo cha mshahara hakitolewi kwa walimu tu bana,watumish wote wa umma mishahara yao ni midogo na haikidhi mahitaji!!

Kwa taarifa yako tu,kwa watumishi wenye degree ya miaka 3 ni walim ndio wenye mshahara mkubwa kuwazidi maafisa wengine km afisa utumishi,afisa aendeleo ya jamii,nk!!

Mwalim mwenye degree anaanza na salary scale ya TGTS-D(532,000) wkt watumishi wengine wenye degree nyingine za miaka 3 km afisa utumishi,afisa maendeleo ya jami,afisa tarafa,weo nk hawa wanaanza na TGS D(511,400) sasa hapo nani ana mshahara mkubwa???

Au mnavyosikia wanaitwa maafisa mnadhan wanalipwa mamilion???
 
Na kuhusu malimbikizo na madai yaan kila mtumishi wa umma anaidai serikali,sio walimu tu jaman!!!
 
Muhimu ni udhibiti wa mfumuko wa bei,serikali imeshindwa kudhibiti bei!
 
aaaah!!kwahiyo chama kingine wakikichagua ndo kitawalipa mamilion???

Kuhusu mishahara duni kila mtumishi wa umma analalamka maslahi ni duni,si walimu tu jaman!!!

Tunahitaji kuliita jembe kwa jina lake halisi.

Tunahitaji kuishuhudia kauli ya maisha bora kwa kila mtanzania kwa vitendo sio majukwaani na kwa propaganda.

Kwanini iwe kwetu walalhoi tu wala sio kwao na familia zao, yatupasa kuchukuwa hatua kwa yeyote anayetulaghai.
 
Imeshindwa kwasababu wafanyabiashara na wanaonufaika ni watawala na familia zao.

Jiulize vipi bei ya mafuta ya taa inakuwa sawa na petrol hapa ndipo ninahimiza waalimu kuwaazibu ccm na serikali yake
 
Na kuhusu malimbikizo na madai yaan kila mtumishi wa umma anaidai serikali,sio walimu tu jaman!!!

dawa ya deni kulipa, wabunge, mawaziri na waandamizi wao wanamalimbikizo kiasi gani?
 
Maisha yanazidi kuwa magumu hasa kwa sekta ya elimu,wizara ambayo wafanyakazi wake hasa walimu wanalipwa kima kidogo cha mshahara!,ninajiuliza kwa nini malimbikizo ya mishahara na madaraja hayalipwi kwa wakati nani wa kulaumiwa? musoma vijijini madai yetu yamekuwa sugu! hali ni tete!

Huo ushauri mzuri sana upo safi umetulia .
 
Tunahitaji kuliita jembe kwa jina lake halisi.

Tunahitaji kuishuhudia kauli ya maisha bora kwa kila mtanzania kwa vitendo sio majukwaani na kwa propaganda.

Kwanini iwe kwetu walalhoi tu wala sio kwao na familia zao, yatupasa kuchukuwa hatua kwa yeyote anayetulaghai.

ni kwasababu tumo kwenye mfumo wa kibepari ambao sifa yake kuu ni existance of antagonistic classes yaan tabaka la wenye nacho na tabaka la makabwela!!

Mfumo huu hata wakitawala chama kingine ksichokua ccm bado utatuumiza tu,hata sikumoja hatuwez wote kua matajiri!!

Survival for the fittest!!
 
aaaah!!kwahiyo chama kingine wakikichagua ndo kitawalipa mamilion???

Kuhusu mishahara duni kila mtumishi wa umma analalamka maslahi ni duni,si walimu tu jaman!!!

hakuna mabadiliko ni muhimu ili nao wajue wasipofanyia malalamiko ya wananchi kazi hukumu itakuja kwenye sanduku la kura. Hawa jamaa zetu wamekua na comfidence sana wanajiona wao ndio wao.
 
Mkuu,kima kidogo cha mshahara hakitolewi kwa walimu tu bana,watumish wote wa umma mishahara yao ni midogo na haikidhi mahitaji!!

Kwa taarifa yako tu,kwa watumishi wenye degree ya miaka 3 ni walim ndio wenye mshahara mkubwa kuwazidi maafisa wengine km afisa utumishi,afisa aendeleo ya jamii,nk!!

Mwalim mwenye degree anaanza na salary scale ya TGTS-D(532,000) wkt watumishi wengine wenye degree nyingine za miaka 3 km afisa utumishi,afisa maendeleo ya jami,afisa tarafa,weo nk hawa wanaanza na TGS D(511,400) sasa hapo nani ana mshahara mkubwa???

Au mnavyosikia wanaitwa maafisa mnadhan wanalipwa mamilion???

mkuu mwl hana posho, mchongo wa kando wala marupurupu.,,tofauti na hao wengine wanabonda sana hela za miradi
 
basi mlamikaj hakupaswa kusema walim wanalipwa salary ndogo kitu ambacho co kweli,alipaswa kusema walim hawana posho!!

Lkn kwa ishu ya salary,serikali ya awamu ya 4 imewapandisha walim wapo juu wanawazid maofisa wengine!!
 
Back
Top Bottom