Haya ndo maajabu ya viongozi wa CCM

Haya ndo maajabu ya viongozi wa CCM

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
5,092
Reaction score
11,947
Haya ni maajabu ya karne kwa Bunge ambalo lina uwezo wa kumtoa Rais madarakani kwa kupiga kura ya kutokua na imani naye, leo madaraka yake yanataka kupokwa na mahakama ambayo kwa mjibu wa katiba haiwezi hata kumfungulia Rais msitaafu mashitaka !!? Wanatufundisha nini sisi wananchi !!&?
 
Nafikiri mkuu hata wa nje ya Tanzania hawaelewe kama Watanzania tuna akili timamamu. Mtu na cheo chako na elimu kubwa unaweza kweli kutetea wezi hadharani ?
 
Haya ni maajabu ya karne kwa Bunge ambalo lina uwezo wa kumtoa Rais madarakani kwa kupiga kura ya kutokua na imani naye, leo madaraka yake yanataka kupokwa na mahakama ambayo kwa mjibu wa katiba haiwezi hata kumfungulia Rais msitaafu mashitaka !!? Wanatufundisha nini sisi wananchi !!&?

Kubenea alipo enda mahakamani kupinga bunge la katiba mbona mahakama haikuamuru bunge lisitishwe???????
 
Hapo ndo ujue Bunge liko juu ya mahakama kwani hata sheria wanazotumia zimetungwa na Bunge.
 
Back
Top Bottom