Haya ndiyo Maoni yangu kuhusu Usajili wa Simba, Yanga, Azam na Singida Fountain Gate na naomba yaheshimiwe tafadhali

Yanga SC

Imesajili Kiufundi na Kimkakati

Simba SC

Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika

Azam FC

Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea

Singida Fountain Gate FC

Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu

Utabiri wangu Kimsimamo....

Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC

Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
The true colours of Gentamycine on the display!! Ni yanga damu damu!! Ila camouflage yake ili asijulikane siyo ya kitoto!!
 
Yanga SC

Imesajili Kiufundi na Kimkakati

Simba SC

Imesajili Kimhemko, Sifa, Kukurupuka na kutokuwa na uhakika

Azam FC

Imesajili Kienyeji, Kipuuzi na Kimazoea

Singida Fountain Gate FC

Imesajili kwa Kuzoa Makapi yaliyoachwa, Kishamba na kwa Kutegemea tu Kudra za Mwenyezi Mungu

Utabiri wangu Kimsimamo....

Bingwa ni Yanga SC
Mshindi wa Pili Simba SC
Mshindi wa Tatu Singida Fountain Gate FC
Mshindi wa Nne Azam FC

Ukinuna na huu Ukweli jinyonge Ufe.
naunga mkono uzi kwa heshima zote
 
Simba Wamesajili kwa KUKURUPUKA na MIHEMUKO.

Wamesajili kwa LENGO la kuwafurahisha Mashabiki.

Simba hawana Beki
Hawana kiungo mkabaji.

WANARUDIA MAKOSA Kila wakati.
Mwaka 2020 walikuwa na mawinga 11.
1. Perfect CHIKWENDE.
2. BENARD MORISON.
3. Dunkan Nyoni.
4. Pape sakho.
6 peter Banda.
7. Hassan Dilunga.
8. Ibrahim Ajibu.
9. Hassan Dilunga.
10. Muhilu.

MWAKA 2023 WANARUDIA YALE YALE.

1. KIBU Denis.
2.Saido ntibazonkiza.7 to 10.
3 CLOTUS chama 10 to 11.
4. Essomba Onana.
5. Aubin Kramo.
6.jimyson mwinuke.
7. Luis Miguisson

( Peter Banda )

ALEX FERGASON KOCHA BORA WA DUNIA ANASEMA.

"Safu Bora ya ushambuliaji itafunga MAGOLi. Safu Bora ya ulinzi itakupa Mataji.".

MSIMU uliopita Simba Alikuwa na MAGOLi zaidi ya 100.
Mataji 0.

LIGI KUU 75.
CAF CL.
AZAM FC

WAMECHAGUA MAGOLI NA SI MATAJI.
 
Wanangu wa Yanga mikono juu
 
Kwahyo ajibu ni winga??dah dunia hii
 
Alikuwa ANATOKEA pembeni wakati chama akiwa Simba Ajibu Alikuwa ANACHEZA 7

Kuna aina karibu Tano za mawinga.
Winga (Banda)
Kiungo WA pembeni. (Sakho)
Mshambuliaji WA pembeni (KIBU)
Wing back nk.....

Kama hujui kitu uliza

Mpira umebadirika ACHA USHAMBA.
Na Wewe ukubwa wote huo bado tu hujui Kiswahili? Kuna neno Kubadirika kama Ulivyoandika hapa au neno sahihi na fasaha ni Kubadilika?

Kumbe kuna Watu hapa JamiiForums nikiwa Nawadharau japo Wenyewe wanajifanya wanajua na wana Akili huwa sikosei.
 
Mkuu hapo kwa singida ulibugi, wako vizuri. Wamefanya signings za maana sana. Huyo Duko na Tchekei watatuua 🔥🙌🏿
 
Yanga hata akiweka kikosi cha tatu wana uhakika wa kuwafunga Azam na Singida wakati Simba inabidi kila mechi apambane haswa. Tofauti iko hapo.

Niliwahi kusema, Simba inabidi wacheze mechi kadhaa za Yanga hasa mwanzoni mwa msimu ili wadondoshe points. Hivi hivi, sijui.....
Nawakumbusha tu
 
Back
Top Bottom