Nibozali JF-Expert Member Oct 15, 2016 572 1,055 Apr 29, 2017 #1 "Mwanangu *soma* la sivyo *utaishia* kuwa *mbunge, waziri au mkuu wa mkoa"*
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,663 19,891 Apr 29, 2017 #2 CCM na serikali yake ndio wa kulaumiwa kuaribu Elimu ya Tanzania Swissme
runna JF-Expert Member Sep 6, 2014 343 791 Apr 29, 2017 #3 Sasa si bora usisome uwe mbunge au Waziri kuliko kusoma sana na kupata first class afu uko mtaani unazunguka na Bahasha
Sasa si bora usisome uwe mbunge au Waziri kuliko kusoma sana na kupata first class afu uko mtaani unazunguka na Bahasha
Nibozali JF-Expert Member Oct 15, 2016 572 1,055 Apr 29, 2017 Thread starter #4 runna said: Sasa si bora usisome uwe mbunge au Waziri kuliko kusoma sana na kupata first class afu uko mtaani unazunguka na Bahasha Click to expand... Kweli kabisa
runna said: Sasa si bora usisome uwe mbunge au Waziri kuliko kusoma sana na kupata first class afu uko mtaani unazunguka na Bahasha Click to expand... Kweli kabisa
Nibozali JF-Expert Member Oct 15, 2016 572 1,055 Apr 29, 2017 Thread starter #5 swissme said: CCM na serikali yake ndio wa kulaumiwa kuaribu Elimu ya Tanzania Swissme Click to expand... Kweli kabisa
swissme said: CCM na serikali yake ndio wa kulaumiwa kuaribu Elimu ya Tanzania Swissme Click to expand... Kweli kabisa
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 Apr 29, 2017 #6 Ndio ilipofikia Tanzania ya leo...daah i wish Mwl. JKN angekuwepo