Hii tabia ipo sana hapa town. Sio kwa celebrity tu, hata vijana wa mtaani hohehae nao pia wanatembea barabarani wakiwa wameshika "PESA" zao.
Mama alishaniuliza sana ni kwa nini watu wanafanya hivi, maana yeye huwa inamkera sana.
Anyway, things changes, new styles emerges every morning..... Ila binasfi inanikera na naona kama inatuaibisha wanaume kwa kiasi fulani....