Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,285
- 33,882
Che...Kama Kobazi kama ulivyoliweka hapo ambalo inaonekana zuri tu.
Sasa kwanini watu wa imani flani wakiambiwa wavaa kobazi wanakasirika na kuona kama wanakejeriwa ?
Kwani kobazi lina ubaya gani?
Au wange waita wavaa kofia?
Kobazi ni Vazi zuri ilitakiwa kama mnaambiwa wavaa Kibazi ilibidi muone kawaida kwani ni kweli mnayavaa.
Sasa ubaya uko wapi hapo ?
Smart...Ahsante kwa taarifa...
Yale ya wamasai ya mpira wa tairi yanaitwa makatambuga na yale ya plastiki yanaitwa chachachaUlisema makobasi akili inayonijia ni Yale ya wamasai
sema wazee wakiislamu wanna nuru mnooo.waupande mwingine sasa umkute amechomekea🤭🤭🤭🤭🤭🤭maamae utachekaHAYA NDIYO MAKOBAZI
Makobazi ni viatu vinavyovyaliwa kwa wingi na watu wa Pwani ya Afrika ya Mashariki.
Hivi ni viatu wanavyovaa wanaume.
Juu ataweka kofia pengine ya ya mkono.
Itafata kanzu pengine ya Dariz.
Juu ya kanzu linaweza kuja koti.
Chini ya kanzu utakuja msuli au saluni kwa jina lingine na chini atahitimisha kwa makobazi.
Kwa hakika hili ni vazi maarufu la Waislam lau mtu yeyote anaweza kuvaa akipenda.
Haikatazwi.
Bahati mbaya sana nimesoma mara kadhaa hapa JF viatu hivi kugeuzwa kuwa ndiyo alama ya Waislam na kwa kejeli Waislam wakaitwa, "Wavaa Kobazi."
Kivazi hiki cha kupendeza kikageuzwa kuwa tusi.
Mimi hujiuliza.
Uadui huu na chuki hizi zimetokea wapi?
Uadui huu na chuki hizi nini chanzo chake?
Najiuliza haya kwa kuwa naijua historia ya Tanganyika ilipokuwa inapigania uhuru wake harakati hizi zikiongozwa na TANU chini ya Julius Kambarage Nyerere.
Nyerere hakuwa Muislam lakini waliomtanguliza mbele wengi wao walikuwa Waislam na kivazi chao ni hayo makobazi kanzu na kofia.
Mwalimu kuna wakati akipenda sana kuvaa kofia ya mkono.
Uhuru ukapatikana mwaka wa 1961.
Tanganyika ikawa taifa huru lenye umoja na heshima yake ulimwenguni.
Hii chuki ya kuchukia Uislam na Waislam kiasi Muislam akapewa lakabu ya kiatu chake avaacho imetokea wapi?
View attachment 2521724
Baraza la Wazee wa TANU 1957
View attachment 2521736
Tuna vaa kobaz kama alivyo vaa YesuKama Kobazi kama ulivyoliweka hapo ambalo inaonekana zuri tu.
Sasa kwanini watu wa imani flani wakiambiwa wavaa kobazi wanakasirika na kuona kama wanakejeriwa ?
Kwani kobazi lina ubaya gani?
Au wange waita wavaa kofia?
Kobazi ni Vazi zuri ilitakiwa kama mnaambiwa wavaa Kibazi ilibidi muone kawaida kwani ni kweli mnayavaa.
Sasa ubaya uko wapi hapo ?
Km hizHAYA NDIYO MAKOBAZI
Makobazi ni viatu vinavyovyaliwa kwa wingi na watu wa Pwani ya Afrika ya Mashariki.
Hivi ni viatu wanavyovaa wanaume.
Juu ataweka kofia pengine ya ya mkono.
Itafata kanzu pengine ya Dariz.
Juu ya kanzu linaweza kuja koti.
Chini ya kanzu utakuja msuli au saluni kwa jina lingine na chini atahitimisha kwa makobazi.
Kwa hakika hili ni vazi maarufu la Waislam lau mtu yeyote anaweza kuvaa akipenda.
Haikatazwi.
Bahati mbaya sana nimesoma mara kadhaa hapa JF viatu hivi kugeuzwa kuwa ndiyo alama ya Waislam na kwa kejeli Waislam wakaitwa, "Wavaa Kobazi."
Kivazi hiki cha kupendeza kikageuzwa kuwa tusi.
Mimi hujiuliza.
Uadui huu na chuki hizi zimetokea wapi?
Uadui huu na chuki hizi nini chanzo chake?
Najiuliza haya kwa kuwa naijua historia ya Tanganyika ilipokuwa inapigania uhuru wake harakati hizi zikiongozwa na TANU chini ya Julius Kambarage Nyerere.
Nyerere hakuwa Muislam lakini waliomtanguliza mbele wengi wao walikuwa Waislam na kivazi chao ni hayo makobazi kanzu na kofia.
Mwalimu kuna wakati akipenda sana kuvaa kofia ya mkono.
Uhuru ukapatikana mwaka wa 1961.
Tanganyika ikawa taifa huru lenye umoja na heshima yake ulimwenguni.
Hii chuki ya kuchukia Uislam na Waislam kiasi Muislam akapewa lakabu ya kiatu chake avaacho imetokea wapi?
View attachment 2521724
Baraza la Wazee wa TANU 1957
View attachment 2521736
Sawa kobazi ni kiatu kuzuri tu. Sisi kule vijijini tulikuwa tunavaa kobazi za Matairi ya Gari na maisha alienda vizuri tu.
Hitimisho tunavaa kobaz kama alivyo vaa YesuSawa kobazi ni kiatu kuzuri tu. Sisi kule vijijini tulikuwa tunavaa kobazi za Matairi ya Gari na maisha alienda vizuri tu.
Nyi wenzetu mnavaa kobazi za Vervet toka China na Arabuni ambazo ni nzuri zaidi.
Sasa kwanini muone kuitwa wavaa kobazi ni kejeri ?
Ikiwa hata Yesu alivaa pia.