Hata mimi nimeshangaa eti mchungaji awaombee dua baada ya kumrekodi mtu video ya uchi? Kwa kweli mbinguni mbali sanaNimesikia hapo wanaomba mchungaji aombe. Sasa Mungu nnayemjua mimi anasema samehe saba mara sabini. Unless kama wana mungu wao tofauti.
Mbali sana kwa kweliHata mimi nimeshangaa eti mchungaji awaombee dua baada ya kumrekodi mtu video ya uchi? Kwa kweli mbinguni mbali sana
Mbinguni mbali sana. 🤣🤣🤣😂Hata mimi nimeshangaa eti mchungaji awaombee dua baada ya kumrekodi mtu video ya uchi? Kwa kweli mbinguni mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23] ni mbali si kidogoMbinguni mbali sana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Umenchekesha sana. Et mbinguni mbali sana. Sasa si tunajua ni mbali??![emoji23][emoji23][emoji23] ni mbali si kidogo
Hamjui, msingekuwa mnafanya mambo ya ajabu na bado mnahubiri kwenda mbinguniUmenchekesha sana. Et mbinguni mbali sana. Sasa si tunajua ni mbali??!
Jamaa bila shida kamuachia,haya ni maamuzi yanaitwa ya kiume
Kwani wamemdhuru?Nimesikia hapo wanaomba mchungaji aombe. Sasa Mungu nnayemjua mimi anasema samehe saba mara sabini. Unless kama wana mungu wao tofauti.
Hamjui, msingekuwa mnafanya mambo ya ajabu na bado mnahubiri kwenda mbinguni
Kwa hiyo hayo ya kumrecord mtu ndio ya kaisari sio..?Imeandikwa "Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu".
Uyo jamaa upande wa kulia anaekula gum anaonekana mnafiki kinoma maana anajiziua kuchekaJamaa bila shida kamuachia,haya ni maamuzi yanaitwa ya kiume