Haya Ndio Mataifa huru duniani


Russia anapigania uhuru gani??
 
Ushakula kande una kuja kujamba uku baada ya vikwazo nini kimetokea, baada ya vikwazo kkipi kimefata kwa walioweka vikwazo, Russia ndyo taifa ambalo lilikuwa na deni dogo kuliko mataifa yote yaliyokuwa top10 kwa uchumi mkubwa duniani, vikwazo walivyoweka wenyewe waatavitoa ni jjambo LA muda tu ndyo maana Russia hajjababaika na ivyo vikwazo
 
Huna akili,
 
Fun facts: three U.S. states have larger economies than Russia: California ($3.1 trillion), Texas ($1.78 trillion) and New York ($1.7 trillion). And California's GDP is more than twice the GDP of Russia.

Nakukumbusha kuwa kama si kuwa na Nuclear Russia hana lolote. Utakuja kuniambia saiz anawekwa kwenye Target. Akisha Jaa watapoteana. Ameachwa atambe kwa muda. Inzi alieko usoni huwezi mpiga rungu.
 
Ndyo maana nakwambia ushhakula kande unakuja kujamba uku, wameshindwaa kumpiga saivi nani atajaribu kkumgusa uko mbeleni unaisi Russia ni nchi ya Wenda wazimu kama uku kwetu, marekani anaoggopa kurudia makkossa waliyoyafanya wakubwa wenzake wa zamani France na German kuingia vitani na urusi maana walichokipata wanakijua hakuna raisi chizi anayeweza kukubali uwoo ujinga abaddani watatuma silaha na hakuna kitakachobadilika. Uchumi wa Russia usiufananishe na wa marekani ata kidoggo yes marekani uchumi wake ni mkubwa sana hakuna anayepinga ilo ilaa unajua umeegemea kwenye nini? Kama Russia uchumi wake unggekuwa umegemea kwenye huduma kwa asilimia kubwa lleo hii uchumi wake ungeangukaa kwa asilimia 80 ila ndyo ivyoo vikwazo vimeshindwa wanabaki kubweka tu
 

Na hiyo ndo meaning halisi ya Superpower, Swali ni kwamba hivyo vikwazo angepewa US angetoboa??
 

Pole sana nikwambie tu US ni mtoto kwa Russia, washakutana Syria na Venezuela huko Marekani alikimbia hakuna alichofanya. US alianzisha NATO sababu ya Russia, yaani Muungano wa nchi 30 lakini bado unahaha kupambana na Russia. Unafikiri Russia ni Banana country?
 

Well said.
 
nani ali
nani aliyekuambia huawei kapotea kwenye ramani ya dunia, ili hali 5G za nchi dunian mitambo ni yake. na anafanya majaribio ya 6G
 
Israel hawezi kuwa kibaraka wa marekani labda iwe vice versa maana raia wa waisrael wameshika sehemu zote nyeti marekani kuanzia Hollywood mpaka kwenye sekta ya siasa
Tofautisha wayahundi Na waisrael wayahundi wameashika sehem nyeti marekani ni kweli lakini sio waisrael . Israel ni kibaraka wa marekani. Ni kweli. Sasa wayahundi wa marekani huwa wanawasaidia ndugu zako waisrael
 
Mwongo ww mbona hata marekani huwa anavimbiwa hoja zake UN.huko Vietnam,hata Afghanistan mbona alichemsha
 
Tofautisha wayahundi Na waisrael wayahundi wameashika sehem nyeti marekani ni kweli lakini sio waisrael . Israel ni kibaraka wa marekani. Ni kweli. Sasa wayahundi wa marekani huwa wanawasaidia ndugu zako waisrael
Mbona umeandika pumba Kuna tofauti kati ya wayahudi na waisrael?
 
Inawezekanaje kuweka takataka kundi moja na USA aisee we mvaa Kobazi nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…