Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
6. CubaDunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo kibaraka wa taifa fulani.
Mataifa haya huwa yanafanya maamuzi magumu pindi usalama wa nchi unapokuwa hatarini. Yanajiweza kijeshi, technolojia, hayaingiliwi kisiasa na taifa lolote lile. Na pia hayaogopi taifa lolote lile linapokuja suala la usalama wa nchi.
Mataifa 5 tu yako huru ambayo ni:
1. Russia [emoji635]
2. USA [emoji631]
3. China [emoji630]
4. Iran [emoji1130]
5. North Korea [emoji1188]
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.
Hata WW3 itatokea bhas hayo Mataifa juu yatakua chanzo.
6. Cuba
7. Venezuela
Israel
China anajirudi rudi sanaa, kuna mambo akibanwa na mmarekani anajikana ili kuepuka vikwazo.
China yeye shida yake kubwa ni biashara/pesa tuu,
Ni uzuni kwakweli mpaka Tz yangu nayo haipo huruDunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo kibaraka wa taifa fulani.
Mataifa haya huwa yanafanya maamuzi magumu pindi usalama wa nchi unapokuwa hatarini. Yanajiweza kijeshi, technolojia, hayaingiliwi kisiasa na taifa lolote lile. Na pia hayaogopi taifa lolote lile linapokuja suala la usalama wa nchi.
Mataifa 5 tu yako huru ambayo ni:
1. Russia [emoji635]
2. USA [emoji631]
3. China [emoji630]
4. Iran [emoji1130]
5. North Korea [emoji1188]
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.
Hata WW3 itatokea bhas hayo Mataifa juu yatakua chanzo.
Venezuela ni kibaraka wa USA6. Cuba
7. Venezuela
Venezuela ni kibaraka wa USA
Israel hawezi kuwa kibaraka wa marekani labda iwe vice versa maana raia wa waisrael wameshika sehemu zote nyeti marekani kuanzia Hollywood mpaka kwenye sekta ya siasaIsrael ni kibaraka wa Marekani
mkuu, mataifa huru kwa tafsiri yako ni mawili tu hapa duniani, hao uliowaweka namba 1 &2......Dunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo kibaraka wa taifa fulani.
Mataifa haya huwa yanafanya maamuzi magumu pindi usalama wa nchi unapokuwa hatarini. Yanajiweza kijeshi, technolojia, hayaingiliwi kisiasa na taifa lolote lile. Na pia hayaogopi taifa lolote lile linapokuja suala la usalama wa nchi.
Mataifa 5 tu yako huru ambayo ni:
1. Russia [emoji635]
2. USA [emoji631]
3. China [emoji630]
4. Iran [emoji1130]
5. North Korea [emoji1188]
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.
Hata WW3 itatokea bhas hayo Mataifa juu yatakua chanzo.
Wewe sijui shule umesomea wapi braza, Taifa huru duniani ni USA tu, yalobaki ni vibaraka tu hawana lolote, Russia yako hiyo haiwezi kusimama agenda pale UN hadi ikapita au kuungwa mkono sasa huo uhuru wako unaoizungumzia iko wapi.Dunia ina jumla ya Nchi 195 lakini ni Mataifa 5 tu ndiyo yako huru kisiasa, kiuchumi, kijeshi nknk. Tunavyozungumzia Mataifa huru ni yale ambayo hayaingiliwi kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na siyo kibaraka wa taifa fulani.
Mataifa haya huwa yanafanya maamuzi magumu pindi usalama wa nchi unapokuwa hatarini. Yanajiweza kijeshi, technolojia, hayaingiliwi kisiasa na taifa lolote lile. Na pia hayaogopi taifa lolote lile linapokuja suala la usalama wa nchi.
Mataifa 5 tu yako huru ambayo ni:
1. Russia [emoji635]
2. USA [emoji631]
3. China [emoji630]
4. Iran [emoji1130]
5. North Korea [emoji1188]
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.
Hata WW3 itatokea bhas hayo Mataifa juu yatakua chanzo.
UN?Wewe sijui shule umesomea wapi braza, Taifa huru duniani ni USA tu, yalobaki ni vibaraka tu hawana lolote, Russia yako hiyo haiwezi kusimama agenda pale UN
Huwezi kuwa huru huku nchi yako ikiwa moja ya wapokeji wakubwa wa misaada duniani.Israel
Venezuela ni kibaraka wa USA
Wewe sijui shule umesomea wapi braza, Taifa huru duniani ni USA tu, yalobaki ni vibaraka tu hawana lolote, Russia yako hiyo haiwezi kusimama agenda pale UN hadi ikapita au kuungwa mkono sasa huo uhuru wako unaoizungumzia iko wapi.
China wanaminywa makende na USA hadi this time, hawawezi chochote mbele ya USA labda kwa majirani tu, angekuwa huru Huawei isingepotea kwenye ramani duniani braza, baba wa dunia ni USA
Russia kavimbiwa hadi Ukraine, Prighozin, etc sasa huo uhuru unazungumzia nini, najua lengo lako ni kutaka kuweka Russia na USA katika level 1 bt Russia bado braza
Hayo ndiyo Mataifa huru Duniani it’s crazy lakini ndio hali halisi. Ni huzuni kuona Mataifa makubwa kama Ufaransa, Ujerumani, Japani na UK hayako huru.