Kijakazi Platinum Member Joined Jun 26, 2007 Posts 10,916 Reaction score 18,926 Aug 12, 2014 #1 Haya ndiyo Mapenzi kama nilivyowaona wapenzi hawa wawili, baada ya kuongea nao Mwanaume alisema yeye ni Mwana CHADEMA na Mwananmke alisema yeye kwa kweli anaipenda sana CCM! Lakini tofauti zao ndio zinazokoleza mapenzi yao! View attachment 177059
Haya ndiyo Mapenzi kama nilivyowaona wapenzi hawa wawili, baada ya kuongea nao Mwanaume alisema yeye ni Mwana CHADEMA na Mwananmke alisema yeye kwa kweli anaipenda sana CCM! Lakini tofauti zao ndio zinazokoleza mapenzi yao! View attachment 177059
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,544 Reaction score 30,100 Aug 12, 2014 #2 Hiyo ni dushe imejipinda kwa juu au ni kitovu..? Hebu mtu azoom fasta..
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Aug 13, 2014 #3 Kumbe ndivyo ilivyo,mie naangalia bunge la kwetu muda huu. Nalog off