Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,353
Hehehehehe ...tunasema tena ngoja nikaangalie kule umesema nnhehehehheeh enheeee semeni
Ahaaaaa nikajua unang'oa wakaliMi bahili ila nang'oa watoto wakalee
Bado wewe nakulia timingiAhaaaaa nikajua unang'oa wakali
Kumbe unang'oa wakale ...
haya usije ng'oa hadi wazee mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungempasulia na chupa za vinywaji kabisaaa ...Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Ngoja waje vibamia utakomaaKibamiaa
Hata wewe nakulia timingBado wewe nakulia timingi
Najua utanipa na ubahili wanguHata wewe nakulia timing
pesa omba ila unazifanyia nini ndio shida?? Mtu anaomba hela akaongeze makalio au NIDO??? si maajabu haya. Mwingine akaweke makope yale ya makatani hadi anakuwa ananitisha, sasa natoa hela ya nini hapo??/Habari zenu wanawake,
Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.
Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
Kwani pesa kazi yake si matumizi?pesa omba ila unazifanyia nini ndio shida?? Mtu anaomba hela akaongeze makalio au NIDO??? si maajabu haya. Mwingine akaweke makope yale ya makatani hadi anakuwa ananitisha, sasa natoa hela ya nini hapo??/
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umewachoka kwelimimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Tuvumiliane tu. Tutafika..mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena