Haya ndio mambo ya ukawa kinondoni

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Huyu ndo boniface Jacob, meya kinondoni!
IMG-20160416-WA0090.jpg
IMG-20160416-WA0091.jpg
IMG-20160416-WA0092.jpg
IMG-20160416-WA0093.jpg
IMG-20160416-WA0095.jpg
IMG-20160416-WA0096.jpg
IMG-20160416-WA0097.jpg
IMG-20160416-WA0105.jpg
IMG-20160416-WA0106.jpg
IMG-20160416-WA0107.jpg
 
Do nimechaka sana wew ndo boniface mwenyewe nin AKa shavu dodo mbona unajikoti mwenyewe kwa promo za kijinga
 
Nimeangalia budget hii sijaona ccreativity yoyote mbali ya kuongezeka kwa gharama ya utatuzi wa hoja zilezile. Leo hii Kinondoni tunaongelea sustainable development ya mji kama wa dar es salaam uweze kuhimili wageni na kuhifadhi watu wake.... sijaona mpango mkakati wa kuifanya kinondoni iwe ya kisasa na yenye tija... bado mateja, madada poa, uchafu... kutopangika kwa maeneo kama uwanja wa fisi... unajua swala sio kutoa pesa bali ni kuwaza solution zenye mashiko...
Nilidhani huyu UKAWA wataleta mpango wa maana kumbe wanarudia yaleyale. Jiulize kati ya hayo lipi ni jipya? bima ya afya ni la muda mrefu hadi vijijini sasa wanamifuko yao.... kuweka lami barabara halijaanza leo na wala halijaleta tija sana kwakua kinondoni maeneo kama tandale yamekaa vibaya... but pia mji kama dar hautakiwi uendelee kuwa kama ulivyo. Mpaka leo kila nyumba inakinyesi chini yake...tulitarajia kutakuwa na mpango wa sewaje na mengineyo ambayo yatafanya kinondoni na dar iweze kuishika.... tunatarajia mbali ya budget watuletee mpango wa maendeleo ya kinondoni wa muda mrefu... kumbe wote walewale tu... BONGO bado mbumbumbu wengi... Tembeeni kwenye miji ya watu mjifunze...
 
Mkuu hebu nipe sample ya hizo nchi ulizotembelea ambako asilimia 75 ya mji watu wamejenga kiholela, halafu kuna sewage system safi kabisa. Unajua kuna mambo mtu ukisema unadisclose elimu yako bila kujua.

Nchi ya mipango.....wajitahidi tu kwenda na kasi ya Mh.rais vinginevyo ukawa mwisho mikumi
 
Ukichangia punguza mihemuko, wenzangu kutoka fisiem.

Kinondoni, chini ya ukawa itakuwa mfuno wa kiigwa. Wanafunzi kukaa chini litakuwa historian, tatizo LA Maji historia, uchafu kugeuka mradi kwa kuchakatwa na kuwa mbolea

Yaliyoshindikana ccm kwa miaka zaidi ya 50 yatawezekana ndani ya mwaka mmoja.
 
ukawa hatukukosea kupewa nafasi ya kuongoza jiji la dar
Mwl. Nyerere katika hotuba zake alishawahi kusema kuwa Chadema wanapaswa kupewa kwanza majiji ili tuone ufanisi wao badala ya kuwapa nchi kwa ajili ya majaribio ya kutawala. Usemi wake UMETIMIA!
 
Mkuu hebu nipe sample ya hizo nchi ulizotembelea ambako asilimia 75 ya mji watu wamejenga kiholela, halafu kuna sewage system safi kabisa. Unajua kuna mambo mtu ukisema unadisclose elimu yako bila kujua.
Kumbe hata kuelewa nilichoandika huwezi? tulia soma maelezo yangu then jiulize kama UKAWA ni sahihi kuendelea kujipulizia manukato wakati unakinyesi maungoni?
 
Nimeangalia budget hii sijaona ccreativity yoyote mbali ya kuongezeka kwa gharama ya utatuzi wa hoja zilezile. Leo hii Kinondoni tunaongelea sustainable development ya mji kama wa dar es salaam uweze kuhimili wageni na kuhifadhi watu wake.... sijaona mpango mkakati wa kuifanya kinondoni iwe ya kisasa na yenye tija... bado mateja, madada poa, uchafu... kutopangika kwa maeneo kama uwanja wa fisi... unajua swala sio kutoa pesa bali ni kuwaza solution zenye mashiko...
Nilidhani huyu UKAWA wataleta mpango wa maana kumbe wanarudia yaleyale. Jiulize kati ya hayo lipi ni jipya? bima ya afya ni la muda mrefu hadi vijijini sasa wanamifuko yao.... kuweka lami barabara halijaanza leo na wala halijaleta tija sana kwakua kinondoni maeneo kama tandale yamekaa vibaya... but pia mji kama dar hautakiwi uendelee kuwa kama ulivyo. Mpaka leo kila nyumba inakinyesi chini yake...tulitarajia kutakuwa na mpango wa sewaje na mengineyo ambayo yatafanya kinondoni na dar iweze kuishika.... tunatarajia mbali ya budget watuletee mpango wa maendeleo ya kinondoni wa muda mrefu... kumbe wote walewale tu... BONGO bado mbumbumbu wengi... Tembeeni kwenye miji ya watu mjifunze...
Shirikiana na viongozi kuleta ufanisi. Ukiponda ni bure kwani hii ni nchi yako. Changia mawazo yakp kwa maendeleo ya nchi yako.
 
... Tembeeni kwenye miji ya watu mjifunze...
Mkuu naomba kutofautiana na wewe hapo. Kama ni kutembea naamini awamu iliyopita ni kati serikali ambazo viongozi walitembea kuliko serikali yoyote ile duniani. Na kama kutembea sana kunaleta tija nchi ilitakiwa kwenye level ya juu sana. Muda wa kutembea umekwisha kilichobaki ni kazi.
 
Back
Top Bottom