N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 25, 2014 #2 Angalau unaweza kufanya hivi lakini pahala kama Syria wangefurahi kupata hivi!
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Mar 25, 2014 #3 Ngekewa said: Angalau unaweza kufanya hivi lakini pahala kama Syria wangefurahi kupata hivi! Click to expand... mh ni kweli mkuu Syria hapakaliki atleast haya wamebeba na kuni kwa raha zao
Ngekewa said: Angalau unaweza kufanya hivi lakini pahala kama Syria wangefurahi kupata hivi! Click to expand... mh ni kweli mkuu Syria hapakaliki atleast haya wamebeba na kuni kwa raha zao
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Mar 25, 2014 #4 Nimependa mazingira Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
H Hussein Njovu Senior Member Joined Sep 25, 2006 Posts 186 Reaction score 74 Mar 25, 2014 #5 Mimi sijayapenda mazingira, sehemu kubwa ya miti sio ya asili. ukiangalia vizuri ni miti aina ya "eucalyptus" ambayo imepandwa baada ya miti ya asili kutoweka!
Mimi sijayapenda mazingira, sehemu kubwa ya miti sio ya asili. ukiangalia vizuri ni miti aina ya "eucalyptus" ambayo imepandwa baada ya miti ya asili kutoweka!
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Mar 25, 2014 #6 Yakawaida kwa Sisi watanzania.