chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,412
- 1,909
💯💯✍️✍️Jali nafsi yako... fanya akili na moyo wako kuwa chanzo cha furaha yako, na hutajuta kamwe
Chekecha ubongo utajua zilipotoka. Sidhani kama ni universal, ni kwa ajili yeyote atakayeona zinafaa.Hizi kanuni zimetoka wapi, Kwa nani, kwaajili ya nani? Are they universal???
YES SIRIS IT
Ongezea na ile misemo ya Chameleone wA Panda 3 (RULE OF THE STREETS)Habari wana-JF,
Hapa naomba tupeane kanuni mbalimbali za kuiishi hii sayari dunia, tutajifunza mengi na hata kuongeza maarifa katika kukabiliana nayo kwa kipindi cha uhai wetu:
Kanuni 13 za Kimaisha Zenye Kina na Thamani Kubwa:
- Usitegemee mtu yeyote.
- Hakuna mtu atakayekaa na wewe milele.
- Rafiki wa leo anaweza kuwa adui wa kesho.
- Siri zako ni kama risasi; ukiwapa wengine, siku moja wanaweza kuzitia kwenye bunduki na kuzitumia dhidi yako.
- Kuna mambo matatu tu unayoweza kuyategemea kila wakati na hayatakuangusha: mfuko wako, afya yako, na zaidi ya yote, Mungu wako.
- Weka mahitaji na tamaa zako siri kwa wengine.
- Sio kila mtu anayekuzungumzia kwa tabasamu anakupenda.
- Sio kila mtu anayekuita "mpenzi," "mpendwa," au "rafiki" anakujali kweli (watangazaji wa televisheni wanatuita "watazamaji wapendwa" kila siku, lakini hawatufahamu wala kutupenda).
- Jali nafsi yako... fanya akili na moyo wako kuwa chanzo cha furaha yako, na hutajuta kamwe!
- Furahia maisha kwa kuwa na wazimu kidogo kwa sababu watu wenye busara hufa mapema!
- Fuatilia hobii na mapenzi yako madogo, hata kama kwa wengine yanaonekana hayana maana.
- Usitafute tegemeo kwa ajili yako.
- Kwa sababu tu wewe ni mkarimu na una huruma kwa wengine, usitarajie dunia ikutendee hivyo.
Wewe ulieleta uzi humu ndio utuambie umezitoa wapi, mbona vijana wa siku hizi mnakosa uwezo wa kujenga hoja kabisa? Mkishaokota takataka zenu huko facebook mnakuja kuzitupa humu, hii ndio JF home of great thinker? Shame on you, wahead!Chekecha ubongo utajua zilipotoka. Sidhani kama ni universal, ni kwa ajili yeyote atakayeona zinafaa.
To add:RIP MANDOJO .
RIP MANGWAIR
RIP GODZILA
RIP NIGGA ONE
RIP COMPLEX
RIP RODNEY MENGI
Nimependa hii kanuni:Habari wana-JF,
Hapa naomba tupeane kanuni mbalimbali za kuiishi hii sayari dunia, tutajifunza mengi na hata kuongeza maarifa katika kukabiliana nayo kwa kipindi cha uhai wetu:
Kanuni 13 za Kimaisha Zenye Kina na Thamani Kubwa:
- Usitegemee mtu yeyote.
- Hakuna mtu atakayekaa na wewe milele.
- Rafiki wa leo anaweza kuwa adui wa kesho.
- Siri zako ni kama risasi; ukiwapa wengine, siku moja wanaweza kuzitia kwenye bunduki na kuzitumia dhidi yako.
- Kuna mambo matatu tu unayoweza kuyategemea kila wakati na hayatakuangusha: mfuko wako, afya yako, na zaidi ya yote, Mungu wako.
- Weka mahitaji na tamaa zako siri kwa wengine.
- Sio kila mtu anayekuzungumzia kwa tabasamu anakupenda.
- Sio kila mtu anayekuita "mpenzi," "mpendwa," au "rafiki" anakujali kweli (watangazaji wa televisheni wanatuita "watazamaji wapendwa" kila siku, lakini hawatufahamu wala kutupenda).
- Jali nafsi yako... fanya akili na moyo wako kuwa chanzo cha furaha yako, na hutajuta kamwe!
- Furahia maisha kwa kuwa na wazimu kidogo kwa sababu watu wenye busara hufa mapema!
- Fuatilia hobii na mapenzi yako madogo, hata kama kwa wengine yanaonekana hayana maana.
- Usitafute tegemeo kwa ajili yako.
- Kwa sababu tu wewe ni mkarimu na una huruma kwa wengine, usitarajie dunia ikutendee hivyo.
RIP CPWAAA... man life is short. Lets live it upTo add:
YP
BK
TX MOSHI
BANZA STONE
JUMBE
AND ALL WHO LEFT US!
RIP LANGARIP MANDOJO .
RIP MANGWAIR
RIP GODZILA
RIP NIGGA ONE
RIP COMPLEX
RIP RODNEY MENGI
RIP CPWAAA... man life is short. Lets live it upTo add:
YP
BK
TX MOSHI
BANZA STONE
JUMBE
AND ALL WHO LEFT US!
RIP MR EBBORIP LANGA
RIP COOL JAMES
RIP STEV 2K
RIP MEZ B
RIP AGNES MASOGANGE
RIP SAM WAUKWELI
RIP MAUNDA ZORO
TUTAONANA HATIMAYE SIKU MOJA,,
Tafuta fedha. Narudia tena, tafuta fedha. Acha kukariri ma-kanuni ambayo hayatakusaidia kwenye maisha halisi. Utapasuka kichwa bure kwa kulundika kichwani mi-kanuni isiyosaidia lolote kwenye maisha yako. Narudia tena, tafuta fedha.Habari wana-JF,
Hapa naomba tupeane kanuni mbalimbali za kuiishi hii sayari dunia, tutajifunza mengi na hata kuongeza maarifa katika kukabiliana nayo kwa kipindi cha uhai wetu:
Kanuni 13 za Kimaisha Zenye Kina na Thamani Kubwa:
- Usitegemee mtu yeyote.
- Hakuna mtu atakayekaa na wewe milele.
- Rafiki wa leo anaweza kuwa adui wa kesho.
- Siri zako ni kama risasi; ukiwapa wengine, siku moja wanaweza kuzitia kwenye bunduki na kuzitumia dhidi yako.
- Kuna mambo matatu tu unayoweza kuyategemea kila wakati na hayatakuangusha: mfuko wako, afya yako, na zaidi ya yote, Mungu wako.
- Weka mahitaji na tamaa zako siri kwa wengine.
- Sio kila mtu anayekuzungumzia kwa tabasamu anakupenda.
- Sio kila mtu anayekuita "mpenzi," "mpendwa," au "rafiki" anakujali kweli (watangazaji wa televisheni wanatuita "watazamaji wapendwa" kila siku, lakini hawatufahamu wala kutupenda).
- Jali nafsi yako... fanya akili na moyo wako kuwa chanzo cha furaha yako, na hutajuta kamwe!
- Furahia maisha kwa kuwa na wazimu kidogo kwa sababu watu wenye busara hufa mapema!
- Fuatilia hobii na mapenzi yako madogo, hata kama kwa wengine yanaonekana hayana maana.
- Usitafute tegemeo kwa ajili yako.
- Kwa sababu tu wewe ni mkarimu na una huruma kwa wengine, usitarajie dunia ikutendee hivyo.
Aisee...Ukiona mtu anasema huo msemo ujue Kuna jamboUSIMUAMINI YEYOTE.