Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau mie nasikia tu kuwa Serikali Yetu ya Awamu ya Tano imejipanga kuwaletea maendeleo Watanzania.Maendeleo yanayotajwa ni mengi sana lakini mengine sio kipau mbele cha watanzania.Nilidhani Serikali Yetu ingejikita kwenye mahitaji ya msingi ya watanzania Kwa mfano
1. Kufanya mageuzi makubwa kwenye suala la elimu hili ni la kila mtanzania.
2.Huduma za Afya nalo la kila mtanzania
3.Kuboresha Barabara za nchi nzima nalo la kila mtanzania.
4Kilimo Kutika jembe la mkono mpaka kutumia matrekta
5. Maji nalo hili Kwa kila mtanzania.
6.Mishahara Kwa watumishi iboreshwe kwani hao ndio wasimamizi wa hayo yote hapo Juu.
Binafsi masuala ya kujenga madaraja ya Interchange pale Ubungo sio kipau mbela cha watanzania, daraja la baharini kule surrender bridge sio kipau mbele huo ndio mchango wangu wa Maendeleo Kwa Nchi yangu.