Baada ya miaka 50+ ya uhuru tunaleteana kapicha ka photoshop eti ndege inapaa!!!!
Japo wanasema paul kagame hataki kuachia madaraka lakini ameweka juhudi mpaka wametuacha sisi tukia na kipicha cha ndege!!! Ethiopia na kenya wote wametuacha ...sisi bado tupo na kipicha cha ndege inayopaa!!!
Hii ndege haina hata uwezo wa kwenda hapo kenya achilia mbali japan...usa...europe!!! Yanu ni ya mwanza...kilimanjaro dar...morogoro daaah!!