Haya nayo ni mabomu yanangoja kulipuka!

ABEDNEGO

Senior Member
Aug 20, 2009
109
30
Katika hali ya kuonyesha kutokujali maisha ya binadamu mara zote Serikali haichukua hatua za kinga zaidi sana matamko hutolewa majanga yanapokuwa yametokea.Sehemu nyingi zilizoko katika hatari ya kukumbwa na majanga hatuangalii bali tunasubiri madhara; Kama vile sehemu hizi;

1.Watu waliojenga kando ya reli ya kati na Tazara/ Mabondeni kama Jangwani/Msimbazi

2.Engine mbovu za gari Moshi la abiria

3.Vivuko vyetu sehemu mbali mbali za nchi

4.Waendesha pikipiki wasio na mafunzo wala leseni

5.Majengo Mchakavu katikati ya Miji

6.Mabasi ya Wanafunzi shule binafsi

7.Rail/Road crossing

8.Madaraja mabovu kama la External

9.Baa zilizoko barabarani ie Ukanda wa Gaza nk

10.Petrol stations zilizoko maeneo ya makazi

11.Tanks za mafuta zinazo park kwenye majumba ya watu nk

JF orodhesheni sehemu hatarishi mnazoziona ambazo serikali imefumbia macho
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom