Haya na mazoezi ya jeshi gani...

Hao ni magamba, hapo wanajiandaa na maandamano!
 
hiyoo azabu...jamaa walichelewaa kuamkaaa
 
Mazoezi ya kujiandaa kucamerooniwa...!!huoni walivyokaa vizuri mkao uleeee!!!
 
Walinzi hawa...group 3 sercurity company wako pale buguruni kwa mchambia mawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…