Duh!huyo Dada alitakiwa afikirie kwa umakini before hajachepuka kwani hata huyo kaka asingekufa nnauhakika asingemuoa baada ya kuachwa na mumewe.Kuna vitu huwa tunafanya lakini hatuangalii mbali tunaangalia raha ya muda mfupi.Matokeo huja baadaye tena yenye majuto makubwa.