Haya mapenzi haya!

Nilichojifunza; 1. Mahawara hawaachani. 2. Mwanamke mwalimu wake kipofu. 3.Mtaka yote hukosa yote 4. Malipo ni duniani ahera kuhesabiwa. 5. Ndoa ni zaidi ya tuijuavyo.
 
Tumshauri nini ili iweje? Kahawa yako peleka maskani ya wazee wacheza bao
 
Reactions: amu
Huyu dada hata kama huyo mchepuko wake asingefariki dhahiri angemsalit kwa kumpata mwingine
 
aiseeee nimeisoma kwa tabu munooo.....hata ule ushauri niliotaka kukupa nimesahau coz ya mwandiko wako
 
Mungu saidia nisione utamu wa mwanaume mwingine zaidi ya mume wangu
 

Pole sana.fikiri kabla ya kutenda.mchana mwema
 
unavuna ulichopanda uliambiw ndoa ni shida naraha ....rahaza shortcut na dharau kwa mumeo zina ukomo
 
aisee.... miss chaga umeona lakini...!!!
 
Last edited by a moderator:
Kaiandike upya sasa kwa utulivu.. zingatia alama za maandishi na pia utumie kiswahili fasaha.. baada ya hapo hadithi itakuwa imekamilika na utunzi utakuwa umekubalika unaweza kuuza hata kwa Bongo movies
 
Aiseeeh!

Kubadilisha namba za simu hazisaidii kivile , kuna wengine wamebadilisha zaidi ya mara tatu lakini hao zilipendwa wao wamo tu.

Ninatamani kujua nature ya hiyo ajali, kuna wanaume wanawake wao hawaguswi ni lazima utaishia kutengenezwa, labda ex mume aliamua kumpoteza huyo zikijengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…